Well narrated Brother! Tuna nchi ina mambo ya ajabu mnoooWizara ya michezo haiko serious.
Kwenye image ya Taifa tunaharibu sana.
Kuanzia kipindi cha Olympic walizingua, walikosekana hata wa kuwahi kubeba bendera.
Timu zetu za mpira wa miguu wanawake wanafanya vyema kimataifa. Na juzi walikuwa na mechi za kufuzu hapa nyumbani, kimya. Wanashiriki hayo mashindano kama yatima fulani.
Lingine ni hili la Biashara, mambo ya aibu kabisa serikali inasema itawaunga mkono tayari wakiwa wamechelewa na wanajua wazi hii michezo inakuwa na figisu nyingi.
Sidhani kama watanzania tumeshindwa kabisa kuwapa motisha wawakilishi wetu, ila tuna mfumo mbaya wa uongozi na tunapoteza fursa nyingi kizembe.
Umenena vyema sanaIkitokea tukapewa adhabu kumbuka ni wote hawata Seema biashara unt ni timu ya watanzania yani bendera yatu. Aibu inatupata wote. Inauma sana.
HOJA ya msingi ni kuwa aliyetoa mil. 15 ili wavunje miguu na kung'oa shingo za wachezaji wa SIMBA angeendeleza jitihada hizohizo kuhakikisha timu yake pendwa inatua Tripoli salama!Kuna watu wanalaumu sijui Ali happi,sijui GSM wakati ni jambo la kila mmoja ambae ni mdau WA soka.
Ni kuandaa tuzo za simbaMimi naomba mtu aniambie majukumu ya TFF ni yapi
Na RC Wa MaraNi kuandaa tuzo za simba
Lakini lini walishapitisha bakuli japo wadau wa soka wachangie kabla? Viongozi wao pia ni tatizoKuna watu wanalaumu sijui Ali happi,sijui GSM wakati ni jambo la kila mmoja ambae ni mdau WA soka.
Yaani viongozi wenyewe ndo waliotakiwa waje front kuwashawishi wadau,kwahiyo tatizo limeanza kwa viongozi wa timu wenyewe.Lakini lini walishapitisha bakuli japo wadau wa soka wachangie kabla? Viongozi wao pia ni tatizo
Hiyo haiwezi kuwa hoja,kama akili yako inakutuma hiyo inaweza kuwa ndo hoja kwenye jambo hili your brain is full of shi*t...HOJA ya msingi ni kuwa aliyetoa mil. 15 ili wavunje miguu na kung'oa shingo za wachezaji wa SIMBA angeendeleza jitihada hizohizo kuhakikisha timu yake pendwa inatua Tripoli salama!
Sio kwamba wamekosa pesa, we inaingia akilini hiyo? Ni kwamba wameuza game, wamepewa pesa ili wasiende, na ni pesa nyingi sanaKwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.
Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa bei chee sana.
Hivi unawezaje kununua ndege kwa pesa Cash kisha ushindwe kuipa support Biashara United ambao ni Ambassadors wazuri sana kuitangaza nchi kimataifa??
Nani anajua kuwa huenda Vijana wa biashara wangeweza kuonwa huko Na timu nyingine? Tungeitangaza Tanzania, tungeingizia nchi fedha, tungezalisha akina Samantha wengine wengi.
Tunasubiri washinde kisha tuwapokee kwa Kamera za TBC huku tukisema ni juhudi za serikali....jinga kabisa!
Hivi tuna Wizara? Ni kweli Tanzania imeshindwa kuwasaidia hawa Wawakilishi? Wakitoka Nje ya nchi wawe ni Simba, Azam, Yanga au Biashara etc hawatambuliki kwa majina yao Bali kwa jina la nchi! Tanzania.
Hivi TFF kazi yao ni nini? Nimeumia sana Biashara kukosa mchezo wao kwa uzembe wa hali ya juu.
Serikali ya CCM inazidi kuua ndoto za vijana aiseeee
Wameuza game, kama suala ni pesa si wangesema mapema na serikali kupitia TFF ingewapa, sasa wamecheza mchezowa kuuza game, pumbavu sanaKatika.hili swala nawalaumu viongozi wa biashara.kwa sababu wangeimba Sapoti ya wadau mapema mbona wasingeteseka kabisa kwa ule ushindi wa hapa bongo wamepitisha hata bakuli tu mbona fresh
Lawama la pili kwa mkuu wa mkoa wa mara kama aliweza kuwaahidi manoti wakiifunga [emoji881] kwa nn asingewapa sapoti hata sasa
La mwisho tuna waziri wa hovyo wa michezo wao wanachoweza ni kuipongeza timu ikishinda tu kulikobaki kote ni kazi ya TFF
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.