Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Tumwombee sana,
 
Nasikia chips Dar inafika mpaka buku 3, wauza chips wanasema gas, mafuta, viazi na mayai vimepanda, nao wauza mayai wanasema chakula cha kuku kimepanda bei.
 
Tanzania ingeshaanza kutoa misaada kwa mataifa maskini kama Malawi. Ila samia katurudisha nyuma miaka 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mungu ambariki Mama yetu na amuepushe na vijicho na hasadi za watu wabaya. Amen.
 
Mama alianza kwa kuupiga mwingi mnno, lakini hapo nyuma kiduchu akapwaya lakini kwenye hizi wiki mbili zilizopita amerudi kwa kiwango cha messi na ronaldo., yuko vizuri
Baada ya Job kuwa Mbuzi wa birthday amecome Back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…