CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Tungekuwa pabaya sana aiseBila bias, Bila Samia tungekuwaje leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekuwa pabaya sana aiseBila bias, Bila Samia tungekuwaje leo?
Tumwombee sana,Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu:
1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo,Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai mpaka leo kama sio huyu Rais Samia unayempinga na kumbeza kila leo?
2. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu tungefanyaje kumaliza upungufu wa madarasa wa miaka mingi yanayofikia elfu 15 sawa na wastani wa madarasa matatu katika kila Shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima na mengine zaidi ya elfu 3 kwa shule za msingi Shikizi najua mnajua kabla tulisema Tanzania hatuna maambukizi ya Covid 19 hivyo tusingeweza kupata mkopo ule usio na riba,
3. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nilini tungekusanya kodi inayofikia Shilingi trilioni 2.51 kwa mwezi mmoja tena bila kunyanyasa wala kukimbiza walipakodi wetu,Kwani simnakumbuka Mzee Jakaya yeye alikusanya wastani wa trilioni 10 kwa mwaka mzima pesa tunayoweza kuikusanya kwa miezi minne tu sasa!!
4. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeweza kuongeza mzunguko wa fedha kwenye nchi ( M3 ) kwa mara mbili zaidi kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 12.7 tena kwa miezi tisa tu,
5. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeufikisha Uchumi wetu kwenye ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 5.4 kutoka mdororo wa asilimia 2.1 wakati wa mtangulizi wake,
6. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu ni lini tungeifikia sera yetu ya 50/50 kwenye nyadhifa mbalimbali za Kivyama, kiserikali na taasisi nyingine mbalimbali kwani kupitia yeye Tanzania na dunia vimejifunza kuwa ni kweli kuwa " A Woman Can Lead anywhere at any Post "
7. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeinusuru miradi hii mikubwa ya kimkakati ya SGR na SG iliyokuwa ikijengwa kwa mikopo ya masharti ya kibiashara,Je umewahi kuwaza nini ingekuwa hatma ya Tanzania na Watoto wa Watanzani kwa madeni haya hatari ya kibiashara?
8. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaachilia huru Mashekhe wetu wa uamsho waliosota gerezani kwa miaka zaidi ya 10 bila kosa au Nani angewaachia Wana-CHADEMA waliokuwa wametapakaa karibu kila gereza hapa Tanzania?
9. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeifungua Tanzania kimataifa baada ya kuchafuliwa vibaya na kwa muda mrefu na akina Tundu Lissu na wenzake kiasi cha kunyimwa misaada na mikopo ya masharti|riba nafuu kulikotulazimu kama Taifa kuanza kuiingiza nchi yetu kwenye mikopo ya kibiashara wakati nchi haifanyi biashara ila inatoa huduma tu hili lilikuwa ni bomu kwa nchi,
10. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaongezea mishahara na madaraja makubwa makubwa watumishi wetu wa Serikali waliosota miaka mitano mfululizo bila kuona senti ya Serikali?
11. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaondolea Wasomi wetu VRF ya asilimia 6 toka makato ya asilimia 15 toka HESLB kwani leo wanakatwa asilimia 9 tu tena mpaka upate kazi ndio uanze kukatwa,
12. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angekivusha Chama Changu cha Mapinduzi Salama mwaka wa Uchaguzi 2024|25 ikiwa ni baada ya Rais Samia kurudisha Ushawishi wa Chama kwa jamii|Umma kutokana na matendo mema na mazuri ya Chama Chake na Serikali yake,
#Kama Sio katazo la Katiba kwa kudra za mwenyezi Mungu huyu Mama alitakiwa apewe miaka 20 ila katiba iheshimiwe twende na Mama mpaka 2030 itatufaa sana,Wewe unasemaje?
Nasikia chips Dar inafika mpaka buku 3, wauza chips wanasema gas, mafuta, viazi na mayai vimepanda, nao wauza mayai wanasema chakula cha kuku kimepanda bei.Samia ndo rais mwenye machawa wengi sana. Yani mtu akitaka teuzi anasifia sifia hata kama ujinga ili aonekane.
Ila ukweli huyu mama nchi imenshinda mfumuko wa bei za bidhaa kila kona, maisha yamekua magumu sana. Mfuko wa cement juu, bati juu, nondo usisemeee aisee mama anaupiga mwingi.
Jiombee mwenyewe na wazazi wako na familia yako.Tumwombee sana,
Kumbe unasikia tuNasikia chips Dar inafika mpaka buku 3, wauza chips wanasema gas, mafuta, viazi na mayai vimepanda, nao wauza mayai wanasema chakula cha kuku kimepanda bei.
Ndio nasikia, kwani we Mada zako za uongo za kumpamba mama Samia we ni mwandishi wa habari wa ikulu?Kumbe unasikia tu
Unanifahamu?Ndio nasikia, kwani we Mada zako za uongo za kumpamba mama Samia we ni mwandishi wa habari wa ikulu?
Wewe ni kituko cha mwaka.Uchumi wa Tanzania saa hizi ume come down saana
Nyie ni robots? Maana naona kila muda mnarudisha post za zamani kwa contents zilezileWewe ni kituko cha mwaka.
Huku ndio ku come down?[emoji116]
View attachment 2098387
View attachment 2098388
View attachment 2098389
View attachment 2098390
View attachment 2098391
View attachment 2098392
View attachment 2098393
View attachment 2098394
Ipi ya zamani? Unasoma tarehe au unakurupuka?Nyie ni robots? Maana naona kila muda mnarudisha post za zamani kwa contents zilezile
Tanzania ingeshaanza kutoa misaada kwa mataifa maskini kama Malawi. Ila samia katurudisha nyuma miaka 10.Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu:
1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo,Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai mpaka leo kama sio huyu Rais Samia unayempinga na kumbeza kila leo?
2. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu tungefanyaje kumaliza upungufu wa madarasa wa miaka mingi yanayofikia elfu 15 sawa na wastani wa madarasa matatu katika kila Shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima na mengine zaidi ya elfu 3 kwa shule za msingi Shikizi najua mnajua kabla tulisema Tanzania hatuna maambukizi ya Covid 19 hivyo tusingeweza kupata mkopo ule usio na riba,
3. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nilini tungekusanya kodi inayofikia Shilingi trilioni 2.51 kwa mwezi mmoja tena bila kunyanyasa wala kukimbiza walipakodi wetu,Kwani simnakumbuka Mzee Jakaya yeye alikusanya wastani wa trilioni 10 kwa mwaka mzima pesa tunayoweza kuikusanya kwa miezi minne tu sasa!!
4. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeweza kuongeza mzunguko wa fedha kwenye nchi ( M3 ) kwa mara mbili zaidi kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 12.7 tena kwa miezi tisa tu,
5. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeufikisha Uchumi wetu kwenye ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 5.4 kutoka mdororo wa asilimia 2.1 wakati wa mtangulizi wake,
6. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu ni lini tungeifikia sera yetu ya 50/50 kwenye nyadhifa mbalimbali za Kivyama, kiserikali na taasisi nyingine mbalimbali kwani kupitia yeye Tanzania na dunia vimejifunza kuwa ni kweli kuwa " A Woman Can Lead anywhere at any Post "
7. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeinusuru miradi hii mikubwa ya kimkakati ya SGR na SG iliyokuwa ikijengwa kwa mikopo ya masharti ya kibiashara,Je umewahi kuwaza nini ingekuwa hatma ya Tanzania na Watoto wa Watanzani kwa madeni haya hatari ya kibiashara?
8. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaachilia huru Mashekhe wetu wa uamsho waliosota gerezani kwa miaka zaidi ya 10 bila kosa au Nani angewaachia Wana-CHADEMA waliokuwa wametapakaa karibu kila gereza hapa Tanzania?
9. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeifungua Tanzania kimataifa baada ya kuchafuliwa vibaya na kwa muda mrefu na akina Tundu Lissu na wenzake kiasi cha kunyimwa misaada na mikopo ya masharti|riba nafuu kulikotulazimu kama Taifa kuanza kuiingiza nchi yetu kwenye mikopo ya kibiashara wakati nchi haifanyi biashara ila inatoa huduma tu hili lilikuwa ni bomu kwa nchi,
10. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaongezea mishahara na madaraja makubwa makubwa watumishi wetu wa Serikali waliosota miaka mitano mfululizo bila kuona senti ya Serikali?
11. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaondolea Wasomi wetu VRF ya asilimia 6 toka makato ya asilimia 15 toka HESLB kwani leo wanakatwa asilimia 9 tu tena mpaka upate kazi ndio uanze kukatwa,
12. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angekivusha Chama Changu cha Mapinduzi Salama mwaka wa Uchaguzi 2024|25 ikiwa ni baada ya Rais Samia kurudisha Ushawishi wa Chama kwa jamii|Umma kutokana na matendo mema na mazuri ya Chama Chake na Serikali yake,
#Kama Sio katazo la Katiba kwa kudra za mwenyezi Mungu huyu Mama alitakiwa apewe miaka 20 ila katiba iheshimiwe twende na Mama mpaka 2030 itatufaa sana,Wewe unasemaje?
😀😀😀Tanzania ingeshaanza kutoa misaada kwa mataifa maskini kama Malawi. Ila samia katurudisha nyuma miaka 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana kabisa,Ipi ya zamani? Unasoma tarehe au unakurupuka?
Zingine hizo hapo nuna upasuke 😆😆
View attachment 2098406
View attachment 2098407
View attachment 2098408
View attachment 2098409
View attachment 2098410
View attachment 2098411
View attachment 2098412
View attachment 2098413
View attachment 2098414
View attachment 2098415
View attachment 2098416
View attachment 2098417
Nyuma wapi mbona huelezi? 😃😃..Tanzania ingeshaanza kutoa misaada kwa mataifa maskini kama Malawi. Ila samia katurudisha nyuma miaka 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu:
1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo,Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai mpaka leo kama sio huyu Rais Samia unayempinga na kumbeza kila leo?
2. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu tungefanyaje kumaliza upungufu wa madarasa wa miaka mingi yanayofikia elfu 15 sawa na wastani wa madarasa matatu katika kila Shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima na mengine zaidi ya elfu 3 kwa shule za msingi Shikizi najua mnajua kabla tulisema Tanzania hatuna maambukizi ya Covid 19 hivyo tusingeweza kupata mkopo ule usio na riba,
3. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nilini tungekusanya kodi inayofikia Shilingi trilioni 2.51 kwa mwezi mmoja tena bila kunyanyasa wala kukimbiza walipakodi wetu,Kwani simnakumbuka Mzee Jakaya yeye alikusanya wastani wa trilioni 10 kwa mwaka mzima pesa tunayoweza kuikusanya kwa miezi minne tu sasa!!
4. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeweza kuongeza mzunguko wa fedha kwenye nchi ( M3 ) kwa mara mbili zaidi kutoka asilimia 6.5 hadi asilimia 12.7 tena kwa miezi tisa tu,
5. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeufikisha Uchumi wetu kwenye ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 5.4 kutoka mdororo wa asilimia 2.1 wakati wa mtangulizi wake,
6. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu ni lini tungeifikia sera yetu ya 50/50 kwenye nyadhifa mbalimbali za Kivyama, kiserikali na taasisi nyingine mbalimbali kwani kupitia yeye Tanzania na dunia vimejifunza kuwa ni kweli kuwa " A Woman Can Lead anywhere at any Post "
7. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeinusuru miradi hii mikubwa ya kimkakati ya SGR na SG iliyokuwa ikijengwa kwa mikopo ya masharti ya kibiashara,Je umewahi kuwaza nini ingekuwa hatma ya Tanzania na Watoto wa Watanzani kwa madeni haya hatari ya kibiashara?
8. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaachilia huru Mashekhe wetu wa uamsho waliosota gerezani kwa miaka zaidi ya 10 bila kosa au Nani angewaachia Wana-CHADEMA waliokuwa wametapakaa karibu kila gereza hapa Tanzania?
9. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angeifungua Tanzania kimataifa baada ya kuchafuliwa vibaya na kwa muda mrefu na akina Tundu Lissu na wenzake kiasi cha kunyimwa misaada na mikopo ya masharti|riba nafuu kulikotulazimu kama Taifa kuanza kuiingiza nchi yetu kwenye mikopo ya kibiashara wakati nchi haifanyi biashara ila inatoa huduma tu hili lilikuwa ni bomu kwa nchi,
10. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaongezea mishahara na madaraja makubwa makubwa watumishi wetu wa Serikali waliosota miaka mitano mfululizo bila kuona senti ya Serikali?
11. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angewaondolea Wasomi wetu VRF ya asilimia 6 toka makato ya asilimia 15 toka HESLB kwani leo wanakatwa asilimia 9 tu tena mpaka upate kazi ndio uanze kukatwa,
12. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu nani angekivusha Chama Changu cha Mapinduzi Salama mwaka wa Uchaguzi 2024|25 ikiwa ni baada ya Rais Samia kurudisha Ushawishi wa Chama kwa jamii|Umma kutokana na matendo mema na mazuri ya Chama Chake na Serikali yake,
#Kama Sio katazo la Katiba kwa kudra za mwenyezi Mungu huyu Mama alitakiwa apewe miaka 20 ila katiba iheshimiwe twende na Mama mpaka 2030 itatufaa sana,Wewe unasemaje?
Baada ya Job kuwa Mbuzi wa birthday amecome BackMama alianza kwa kuupiga mwingi mnno, lakini hapo nyuma kiduchu akapwaya lakini kwenye hizi wiki mbili zilizopita amerudi kwa kiwango cha messi na ronaldo., yuko vizuri
Unavyosifia utafikiri Samia ametokea Chama tofauti na CcmNyuma wapi mbona huelezi? [emoji2][emoji2]..
Mtaona wivu Sana,na bado atawafundisha kuongoza na kukuza Uchumi
View attachment 2098440
View attachment 2098441
View attachment 2098442
View attachment 2098443
View attachment 2098444
View attachment 2098445
View attachment 2098446
View attachment 2098447
View attachment 2098448
View attachment 2098449
View attachment 2098450
View attachment 2098451
View attachment 2098452
Hakika bila samia kusingekua na mgaotungekuwa tunashindana na ulaya kwa uhodari wa jpm tungekuwa mbali sana sana
Hiyo ndio CCM