Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Unatuletea haya matakataka wakati ki uhalisia hali ni mbaya sana uku mitaani,kila kitu bei ni moto,umeme unakatika kila dakika.....maisha yamekua magum mno.
 
Unatuletea haya matakataka wakati ki uhalisia hali ni mbaya sana uku mitaani,kila kitu bei ni moto,umeme unakatika kila dakika.....maisha yamekua magum mno.
Wewe ni fala na mjinga wa mwisho,ingekuwa mbaya kama unavyoeleza wewe hizo figures zingetoka wapi?

Uwe unatumia akili japo kidogo

 
Kuishi kwa kutegemea uchawa iko siku mtakuja kuumbuka hadharani , Wajinga wakubwa nyie !
 
Mvua vipi zinatosha?
Mpaka lini tutategemea mvua mkuu?
Na si walisema umeme ni wa uhakika Tz na mkakaribisha wawekezaje na sasa imekuaje?
Huu utawala wa hiki chama hauna Plan B.

Umewahi jiuliza vipi mvua isiponyenya mwaka mzima?
 
We unakula hizo figures tatizo umepitia malezi mabovu ni haki yako kumwona kila mtu ni fala.
Bichwa lako ni mzigo utaki kulifikirisha..
Ningekuwa sili bando na mda wa ku post hapa ningetoa wapi?

Kishindo cha mama, Makusanyo ya Halmashauri yavuka lengo πŸ‘‡

 
Hayo yote ulotaja ni majukumu ya kawaida ya kiongozi.
Sijaona jipya!!
 
Acheni jipendekeza ,kwani SSH amekuta nchi imesimama tangu mwaka 1960
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…