Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Samia ndo rais mwenye machawa wengi sana. Yani mtu akitaka teuzi anasifia sifia hata kama ujinga ili aonekane.

Ila ukweli huyu mama nchi imenshinda mfumuko wa bei za bidhaa kila kona, maisha yamekua magumu sana. Mfuko wa cement juu, bati juu, nondo usisemeee aisee mama anaupiga mwingi.
😀😀😀
 
Tanzania tuchape kazi kwa bidii sana, Kama Rais tunaye na rekodi zake hazishikiki,
 
Kweli unaongea haya toka Moyoni?
Kwa bei hizi za mafuta na bidhaa zingine kweli ninaona shida sana kukubali mama,kinacho udhi zaidi ni nyie chawa mnapotuletea ujinga kwenye mambo ya maana,magu alipokufa tu mafuta yakapanda sh 600 Leo ya fikia ongezeko la sh 800,ndiyo maana akina makamba wanaingia mikataba wapate pesa ya kufanya Mambo yao,bwawa litasubiri.
 
Bwawa mwezi wa sita moto unawaka
 
Kuna watu wanatamani kukimbia nchi kwa aibu, Walisema hawezi kwani leo wanasemaje?
Kazi zinaendelea,Samia aendelea kuaminiwa na Jumuiya ya Kimataifa 👇

Screenshot_20220204-210915.png
 
Back
Top Bottom