ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Ifafanue,Toka mwaka unaanza hii ndo thread mbovu ya kipuuzi niliyowahi kuisoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifafanue,Toka mwaka unaanza hii ndo thread mbovu ya kipuuzi niliyowahi kuisoma.
wonderfulWanataka kushindana na Samia,wameachwa mishangao
View attachment 2100517
View attachment 2100518
View attachment 2100519
View attachment 2100520
View attachment 2100521
😀😀😀Samia ndo rais mwenye machawa wengi sana. Yani mtu akitaka teuzi anasifia sifia hata kama ujinga ili aonekane.
Ila ukweli huyu mama nchi imenshinda mfumuko wa bei za bidhaa kila kona, maisha yamekua magumu sana. Mfuko wa cement juu, bati juu, nondo usisemeee aisee mama anaupiga mwingi.
Unataka kujilinganisha nae?Bibi ni mweupe pee, hata kusoma tarakimu hajuwi.
Boss utamshambulia we chawa tu.Mbona Mzee Kikwete hashambuliwi?
Hayo Mambo hayapo Bali ni uongo wa watawala wa sasa ambao kimsingi Wana haribu nchi kwa mambo mengi ya ovyobora ombaomba kuliko mikopo ya kibiashara
Kweli unaongea haya toka Moyoni?Hayo Mambo hayapo Bali ni uongo wa watawala wa sasa ambao kimsingi Wana haribu nchi kwa mambo mengi ya ovyo
Kwa bei hizi za mafuta na bidhaa zingine kweli ninaona shida sana kukubali mama,kinacho udhi zaidi ni nyie chawa mnapotuletea ujinga kwenye mambo ya maana,magu alipokufa tu mafuta yakapanda sh 600 Leo ya fikia ongezeko la sh 800,ndiyo maana akina makamba wanaingia mikataba wapate pesa ya kufanya Mambo yao,bwawa litasubiri.Kweli unaongea haya toka Moyoni?
Bwawa mwezi wa sita moto unawakaKwa bei hizi za mafuta na bidhaa zingine kweli ninaona shida sana kukubali mama,kinacho udhi zaidi ni nyie chawa mnapotuletea ujinga kwenye mambo ya maana,magu alipokufa tu mafuta yakapanda sh 600 Leo ya fikia ongezeko la sh 800,ndiyo maana akina makamba wanaingia mikataba wapate pesa ya kufanya Mambo yao,bwawa litasubiri.
Yetu macho,na kuzuia hayo Mambo yenu hatuwezi nyie fanyeni tu.Bwawa mwezi wa sita moto unawaka
Ombea heri kama huwezi kusemaYetu macho,na kuzuia hayo Mambo yenu hatuwezi nyie fanyeni tu.
Utafurahi tuYetu macho,na kuzuia hayo Mambo yenu hatuwezi nyie fanyeni tu.
Utafurahi tu
Nasubiri.Utafurahi tu
🤣🤣🤣 Nchi ina mambo Sana hii,Toka mwaka unaanza hii ndo thread mbovu ya kipuuzi niliyowahi kuisoma.
Tuchape kazi🤣🤣🤣 Nchi ina mambo Sana hii,
Kuna watu wanatamani kukimbia nchi kwa aibu, Walisema hawezi kwani leo wanasemaje?Nyuma wapi mbona huelezi? 😃😃..
Mtaona wivu Sana,na bado atawafundisha kuongoza na kukuza Uchumi
View attachment 2098440
View attachment 2098441
View attachment 2098442
View attachment 2098443
View attachment 2098444
View attachment 2098445
View attachment 2098446
View attachment 2098447
View attachment 2098448
View attachment 2098449
View attachment 2098450
View attachment 2098451
View attachment 2098452
Kazi zinaendelea,Samia aendelea kuaminiwa na Jumuiya ya Kimataifa 👇Kuna watu wanatamani kukimbia nchi kwa aibu, Walisema hawezi kwani leo wanasemaje?