Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Tanzania tumebahatika ni kweli
 
Huyu anayefuga akina makonda? Acha utani mzee
 
Mimi sijajua kafanyaje maana watumishi wa umma wenye mikopo benki mbalimbali mwezi januari makato inaonekana yameongezeka mara mbili mbili kwa kwa upande wa deni bila kuathiri take home ya mtu...sijui ndo ameamua kuwapunguzia machungu wakopaji au ni makosa ya ki mfumo?
 
Halafu mnaexaggrate Tu masuala ya Kua hair,mbona hakukua navitisho ktk nchi kmaa mnavyojinasibu,sema watu kama nyinyi mlizoea kuandika maandiko yanayo ichafua nchi kipindi kile,ndio maana akisisitizia,kwamba 'Ur free but not to that extent'
 
Hivi uhuru wetu ulikuwa ni kwa kiasi gani. Maana ni lazima tuelewe hiyo sentensi, pengine hatukuwa huru kabisa.
 
Huu uzi umenifanya niwe na siku njema sana,
 
Toka mwaka unaanza hii ndo thread mbovu ya kipuuzi niliyowahi kuisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…