Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Mungu wangu πŸ™.
Tuache tulipokua, gharika linakuja kwa kasi sana
 
Makatibu wakuu
Kwenye kupanda daraja na VRF ya bodi ya mikopo mie ni mnufaika. Kwa hili namshukuru Mama Samia.

Mungu azidi kumpa afya na busara aweze kuongoza kwa haki.
Mawizarani hakuna haki.hasa kada za chino. Ualimu unaongoza Kwa kuminywa.afuatiloe tuu
 
Baada ya kutangazwa kutumbuliwa kwa wakurugenzi wanne, chawa wa kusifu kwa nyimbo na mashairi mitandaoni waanza kupigana vikumbo kunyemelea teuzi! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kama Mungu ndiye aliyemweka; basi,ajitahidi sana kutopokea sifa na utukufu kutoka kwa wasaidizi wake.Hizi fedha za miradi zinazotolewa na serkali yake,zinatokana na kodi za wananchi wengi wao wakiwa masikini.Viongozi wanatakiwa kuwashukuru wananchi kwa miradi inayotokana na kodi zao .Ninachotaka kusema ni kwamba Mungu hapendi binadamu aliyemwumba kupokea sifa kuliko yeye.Mama awaelekeze viongozi kumshukuru Mungu kwa mafaniko tunayopata; na wananchi kwa kodi zao.Ukisha chaguliwa kuwa Rais huitaji sifa tena bali Mungu
 
Sifa na utukufu ziko wapi?
 

Andiko la Hovyo kabisa! Mungu pia katoa kibali cha kutesa watu kwenye magereza?

Huyu Mungu mnatentaja kimasihara I tawa cost! Siku Moja tu; ngojeni muone!
 
Andiko la Hovyo kabisa! Mungu pia katoa kibali cha kutesa watu kwenye magereza?

Huyu Mungu mnatentaja kimasihara I tawa cost! Siku Moja tu; ngojeni muone!
Nani kateswa na Rais Samia kama kweli unamwogopa Mungu,
 
Sifa na utukufu ziko wapi?
We huzisikii zikisema tunamshukuru rais kutupa shs kadhaa ,tunamshukuru kafanya hiki,na hivi jana wengine wanasema " kama asingekuwa Rais tungelikuwa wapi" kwa ufupi wanaompa sifa wanajipendekeza kwa sababu zao.Rais huchaguliwa kwa matazamio ya kufanya mema.sifa za nini tena?
 
Hiyo ni kawaida kwa kiongozi
 
Tusingekuwa tunalala gizani kama sasa,jana na kesho.
 
Kazi iendelee WATANZANIA, Huyu Mama ni habari nyingine,
 
Lakini pia tungekuwa hapa tukipo pamoja na
1. Bila tozo
2. Bwawa la umeme lingekuwa limeisha au hatua za mwisho.

3. Mbowe angekuwa freeman.
4. Tungekuwa na Job bila mswaada wa polisi kutoshtakiwa.


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…