Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Acha UZWAZWA mjinga wewe, hii Jamii Forums ilifungwa na mlitufuata mpaka inbox, mkamshtaki na Mkueugenzi wa JF machawa ninyi wa mwenda zake, TCRA wakaifunga mpaka tweeter
Usiturudishe kwenye machungu mlitaka mtawale milele
 
Hitimisho. Mtangulizi wa Samia aliua Watu ktk jina la wasiojulikana.
 
Acha kumkufuru Mungu kwani tulikuwa wapi kabla hajazaliwa au ? Au tutakuwa wapi baada ya yeye... Tunajipendekeza mpaka tunamkufuru Mungu bilakujuwa.
Yupo nabii mkubwa ktk maandiko alimundea Mungu nakumwambia ona sasa nimebaki nabii pekee ktk Israel na wanaitaka roho yangu Mungu akamwambia ninao manabii elfu niliojisazia ktk taifa.
Mungu ana marais zaidi ya miliion ktk taifa la tanzania nahakuna wakuwa bora kuliko mwingine.
 
Acha UZWAZWA mjinga wewe, hii Jamii Forums ilifungwa na mlitufuata mpaka inbox, mkamshtaki na Mkueugenzi wa JF machawa ninyi wa mwenda zake, TCRA wakaifunga mpaka tweeter
Usiturudishe kwenye machungu mlitaka mtawale milele

Acha UZWAZWA tunaongelea nini hapo? Kuna sehemu nimemtaja mwendazake?. Acha muhaho usireply kama huna content
 
Hata USA kuna mfumuko wa bei, kwa hiyo Joe Budden ameshindwa kutawala America.??

Akili za kipimbi hazijui kuwa inflation ni mfukuzano wa hela nyingi dhidi ya bidhaa chache. Nenda kazalishe uchumi wacha majungu

Kwahyo cost of living ya USA ikipanda na Tanzania ipande?? Mbona unaakili za kifala sana, kwahiyo USA ni Tz? Na serikali inafanya jitihada zipi kupambana na inflation? Naomba nijibu hili swali kichumi zaidi
 
Nashauri mama aongezewe mitano tena, anaupiga mwingi sana aisee na imagine Deni langu la mkopo lilikuwa mwiba mchungu sana, hafu mama haonei mtu tunaishi kwa amani wasojulikana walitunyima sana amani
 
Ongezea;
Bila Rais Samia Mbowe asingefikishwa mahakamani kwa kesi ya Mchongo.
 
Kwahyo cost of living ya USA ikipanda na Tanzania ipande?? Mbona unaakili za kifala sana, kwahiyo USA ni Tz? Na serikali inafanya jitihada zipi kupambana na inflation? Naomba nijibu hili swali kichumi zaidi
Your browser is not able to display this video.

wewe ni sawa na hawa machawa ulifuata upepo ndio maana huna tofauti kila mtu unamuona fala utakapoanza kujitegemea ndio utajua tofauti ya Marais wetu
 
Acha UZWAZWA tunaongelea nini hapo? Kuna sehemu nimemtaja mwendazake?. Acha muhaho usireply kama huna content
Shule zinafunguliwa keshokutwa humjui Mama Samia na hutamjua Mwendazake ndio maana Mada huijui
 
Sifa za kijinga hizi.
 
Umeandika kweli tupu,wananchi tunaiunga mkono [emoji817]%
 
Tuache Ushabiki Rais Samia ni muungwana sana na ndio maana kila mwananchi anamfurahia,
Sisi wananchi wa kawaida,ndio tunafurahi,maisha mazuri.Twamuombea dua kila wakati,Mungu amlinde na watu wasiotutakia mema,wananchi wa kawaida tunafuraha,mahitaji muhimu tunapata.
 
Tungekuwa pazuri zaidi
Tungekuwa pazuri tu. Tunamtegemea Mungu
 
Hawa ni watu wa Upinzani tu hata afanyaje hawatamkubali
Kila mahali,kila sehemu,ujenzi unaendelea,na wengine wanajenga sasa.Tununue vifaa vya ujenzi,kwenye maduka yanayoeleweka. Wasinunue kwa wauzaji wa vichochoroni,ndio huko wanagongwa bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…