Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Vitu vikapanda bei watu hawanunui kama hawanunui kodi ingetoka wapi?
Unahakika na hizo data za kodi?
Kiukweli vitu vya ujenzi havitoki kabisa sasa hivi, mfano tulikuwa na dili la kumfungia mtu madirisha ya alminium tulikubaliana bei laki 2,elfu20 kwa dirisha kaja kumaliza kazi stock ya zamani imekwisha tumekwenda kariakoo tukamwambia bei imepanda kila dirisha toutamfanyia laki3 very fair price wenzetu wanafanya laki 3.5 jamaa akasema ni hela ndefu kwa dirisha zake zipo 18.
Tuacheni utani biashara yaujenzi imeshrink site nyingi za ujenzi za watu binafsi zimesimama tusidanganyane ili kupata millage ya kisiasa
 
Hivi umerudia kuusoma utoko uliondika.
 
Bei za vitu zimepanda dunia nzima mbona mkuu!!
 
1,Mbowe kuwa gerezan

2.Machinga kuteseka

3, Tozo

4. Mfumuko wa bei
 
Umeona ehh, lazima tukubali samia ametuokoa kiasi flan,
watetezi wetu walikuwa wameshatukimbia wellah. na mwenda zake alikuwa anakuja na mitano tena.
Mungu azidi kutulinda.
 
Ndio maana nipo hapa JF na sio ikulu, kama hawawezi awaachie wengine wanaojua nini cha kufanya.
Kumbe unalaumu bure tu, hata wewe hujui cha kufanya.

Basi 2025 tutamuachia GAIDI ama yule wa " nimekosa Mimi nimekosa mno nisamehe sana."

ili atoe ruzuku kwa bidhaa na huduma zote zitakazokuwa sokoni.

Piiipoooooooooooooooooowz
 
Ngoja aje Rais mwingine,mtaanza kumshambulia Samia,machawa ni kama funza

Kama wewe ni kiongozi katili ni katili, Magufuli mbona alishambuliwa sana akiwa madarakani, hatutamsahau kwa uonevu wake kwa watanzania, na kuumiza watu kwa wasiojulikana kisa kimkosoa utafikiri yeye Mungu kwamba kakamilika kwa kila kitu,,

Mama amejitahidi sana kurudisha furaha na amani ya watanzania iliyokuwa inaendelea kupotea kwa kasi kali
 

Ile Mbwa ilikuwa zaidi ya shetani
 
Ukatili anaomfanyia Mbowe huuoni?
 
Kwahyo cost of living ya USA ikipanda na Tanzania ipande?? Mbona unaakili za kifala sana, kwahiyo USA ni Tz? Na serikali inafanya jitihada zipi kupambana na inflation? Naomba nijibu hili swali kichumi zaidi
Huelewi maana ya mifano utanipotezea muda tu.

Hata Nigeria kwenye taarifa ya habari ya leo kuna issue ya inflation. Briefly nilitaka nikuambie inflation siyo kigezo cha ubora wa Kiongozi ndiyo maana hata Nchi zilizoendelea zina suffer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…