Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani,
Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki,
Ombeni time sasa ichunguze kwa nn hamkupanda,maana tume ni nyingi sana ,muombeni rais achunguze kama zoezi la score lilifuata muongozo sahihi wa katibu mkuu,