Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake.

Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
 
Kimsingi hizo ni ofisi mbili tufaut
Na kila mtu ana maeneo yake ya kiutendaji pamoj n bajeti yake

Cha msingi Mama anang'ara
Hujui usemalo pole. Katibu mkuu ndio Mwenyekiti wa sekretarieti ya Kamati kuu ambapo makatibu wote wa NEC wa CCM ni wajumbe mpaka hapo umeona uhusiano wa ofisi hizo.

Katibu mkuu ndio Kila kitu kwenye utendaji wa Chama maana yake Makonda atakuwa chini ya Chongolo.

Nape ni mjumbe wa NEC kwa nafasi yake anaweza kupeleka hoja kwenye kikao Cha NEC kuhusu Makonda na hoja ikajadiliwa ikionekana ina mashiko.

Makonda atahitaji taarifa za Serikali ili kufanya tathmini mbalimbali na ambazo zitarahisisha kazi zake na wizara yenye wajibu wa kumpatia taarifa za kina ni wizara aliyopo Nape.
Kwa mazingira hayo, je kutatokea Nini?
 
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
Una genetic za kike wewe,sio bure
 
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
Ni hivi: mungu mtu wa Tanzania akishampenda mu wake Nape na Chongolo ni nani? Nape anaumia kindani ndani lakini imebidi aandike pongezi ndefu za kumkaribisha Makonda ili asimuudhi Samia. Nakupia hata kama kuna mtu huko CCM inamchukia sana Makonda (na wapo wengi, tena wakubwa) hawana cha kufanya tena itabidi waonyeshe furaha ya kinafiki kweli kweli kwani wanajua hatima yao iko kwa Samia.
 
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
Nape kinachompa confidensi mpaka sasa pesa alizopiga kutoka kwa makampuni ya sim ,nje ya hapo amna kitu
 
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu bila sababu kujulikana. Time will tell.
bashite ni mnafiki sana, atajifanya kama yameisha kumbe anawavizia waingie king.
 
Wanajuana kitambo, kwaiyo hakiharibiki kitu.
 
Attachments

  • 9f472cfa155f4b11b181326595374e6e.jpg
    9f472cfa155f4b11b181326595374e6e.jpg
    57.8 KB · Views: 4
Hujui usemalo pole. Katibu mkuu ndio Mwenyekiti wa sekretarieti ya Kamati kuu ambapo makatibu wote wa NEC wa CCM ni wajumbe mpaka hapo umeona uhusiano wa ofisi hizo.

Katibu mkuu ndio Kila kitu kwenye utendaji wa Chama maana yake Makonda atakuwa chini ya Chongolo.

Nape ni mjumbe wa NEC kwa nafasi yake anaweza kupeleka hoja kwenye kikao Cha NEC kuhusu Makonda na hoja ikajadiliwa ikionekana ina mashiko.

Makonda atahitaji taarifa za Serikali ili kufanya tathmini mbalimbali na ambazo zitarahisisha kazi zake na wizara yenye wajibu wa kumpatia taarifa za kina ni wizara aliyopo Nape.
Kwa mazingira hayo, je kutatokea Nini?
We una fuvu bovu...

Makonda ni namba 3 Kwa Chama Sasa hivi, huyo Nape Cha mtoto sana..

Jiulize mpaka Mama anaamua kumrudisha kalenga Nini? Wabunge wote Ili wapite lazima wawe wapole Kwa Makonda kama hujui Nyamaza..

Idara ya Itikadi na Uenezi ndiyo Idara kubwa na Ndo msemaji Mkuu wa Chama.

Achana nao hap
 
Back
Top Bottom