Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
1704899468443.jpeg

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
1704899639639.jpeg
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Binafsi ili vazi hasa mashuleni naona lina athari kwakuwabagua wanafunzi kwa Imani ili swala lakujua yule pale ni Islamic na yule sio nimbaya sana
 
Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Huu mlinganisho ni wa kijinga na kipumbavu
Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo imbecilic humanoid
Zanzibar hawalazimishi watoto wa kiislamu kuvaa hijab, na hakuna sheria inayowataka kufanya hivyo mashuleni.
Wewe ni mpumbavu mmoja unataka kuchochea mjadala kidini.
 
Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?
Kwanini nchi za Ghuba zenye utajiri wa mafuta zina maendeleo makubwa kuliko nchi zenye utajiri wa mafuta kama Nigeria, Angola n.k.....hapa pia dini inahusika ?

Kwanini nchi kama Malaysia, Singapore zina maendeleo kuliko mataifa mengi ya Africa ukikusanya kwa pamoja, hapa pia utataja dini ?
 
Back
Top Bottom