Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
Chuki! chuki! chuki!

Kwanini usitamani sikumoja aje kiongozi Apige marufuku UVAAJI WA VIMINI!? Na Kwa wanafunzi Apige marufuku wavulana kuvaa vipensi Shuleni!? Na wanafunzi Wasichana wasio na hijabu watimuliwe!!

Ili kuwe na huo uwiano unaoutaka!?

Ila vazi la hijabu #LINAWAKASIRISHA Mpaka mishipa inawavimba....

𝙠𝙪𝙛𝙚𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙘𝙝𝙪𝙠𝙞 𝙯𝙚𝙣𝙪.
 
Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
Waanze masister kanisani kutovaa
 
Vimini vipi Kwa wote hat Kwa wavaa hijab! Tena vyote vipigwe marufuku. Tuwe na vazi la taifa, hijab hapana!
Wapo mabinti wengi tu wanavaa visuruali na vinguo vya ajabu ajabu lakini unaona kavaa na hijabu! Tunachoona ni Utambulisho wake, lakini tabia mbaya huwezi kuisitiri Kwa hijab.
 
Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
Hasara ni zipi?
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Mbona Masister wa kanisa la Roma wanavaa hijabu ?
 
Kiongozi wao Habib bourgiba alichangia hili la kuwapa haki sawa wanawake ya kumiliki mali, Ndoa kwao zinavunjwa ikibidi wanandoa kuhitilafiana,
Wako more liberal muslims zaidi ya Uturuki.
Kuna wanawake wengi waliolewa halafu wakatibua ndoa ili kupata equal share of asset and property hii ni loophole ya haki sawa zao.

Historia inaonesha Tunisia ilitwaliwa na wazungu toka Greece, Turkey na Italia. Hawa wamerithisha tamaduni zao sana, Tunisia wanaongea sana french, italiana, spaniola. Ni mwendo wa saa moja na nusu hadi sicilia kwa pantoni.

Tunisia inategemea utalii kama nguzo kuu ya uchumi hivyo mila na desturi za kiislamu za itikadi kali za mavazi zingepunguza watalii, Tunisia ni mwendo wa masuruali, vimini, wanawake na wanaume wanavuta sana sigara na shisha, nightclubs kwa ufupi ni watu wa kula sana maisha.

Kiongozi wao hata aliyepinduliwa Ben Ally ametengeneza sana uchumi kuna viwanda vya kati vingi sana, wana sheria mwekezaji lazima awe na mzawa kwenye umiliki wa kiwanda au hoteli. Wana export olive oil, strawberry, maziwa na siagi sana nje. Kiufupi ni nchi iliyoendelea sio sawa na africa chini ya sahara.

Ila kwa sasa wamempata raisi kinganga kama magufuli Kais said amekuja na kimavi nchi inazidi kurudi nyuma yeye anaendesha nchi kwa mkono wa chuma alifuta kazi majaji wote. Mjamaa fulani mwenye ubaguzi na anafuata uislamu wenye itikadi kali. Amepunguza kasi ya FDI.
 
Mwinyi
Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
 
Huu mlinganisho ni wa kijinga na kipumbavu
Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo imbecilic humanoid
Zanzibar hawalazimishi watoto wa kiislamu kuvaa hijab, na hakuna sheria inayowataka kufanya hivyo mashuleni.
Wewe ni mpumbavu mmoja unataka kuchochea mjadala kidini.
Mkuu, huwezi kutoa hoja yako bila kutukana?!
 
Binafsi ili vazi hasa mashuleni naona lina athari kwakuwabagua wanafunzi kwa Imani ili swala lakujua yule pale ni Islamic na yule sio nimbaya sana

Hiyo nimoja ya kazi ya mzee wenu saidi mohamedi,tunakosa hata maana ya unifom mashuleni,nashauri serikali iondoe huu ujinga hijabu wakavae madrasa na misikitini au majumbani kwao.
 
Kuna watu wanachanganya dini na culture.

Waarabu wanavaa kanzu , baraghashia na hijabu kutokana na hali ya hewa kule kwao ni asili ya jangwa hivyo mavazi yale ni ideal.

Ila kuna watu wengine wanachukulia kuvaa hivyo ndio dini yenyewe.
 
Zanzibar Mji Mkongwe, kuna maduka mengi, tena ya waislam, na wengine wana asili ya Uarabuni, kwenye maduka yao, nje wameweka vibao, "Ninja marufuku kuingia dukani". Mmoja alionekana kuwa very friendly, nikamwuliza wanamaanisha nini, na kwa nini? Akanijibu kuwa ninja ni yale mahijabu yanayoficha sura wanayovaa wanawake. Akasema wengi wao ni watu waovu. Wanafanya uhalifu ikiwa ni pamoja na kuiba vitu madukani na kuficha kwenye yale manguo yao, halafu hata ukiwa na security camera huwezi kumtambua.

Ikanikumbusha jamaa mmoja msabato aliyezaa na binti ya ustaadhi. Akasema mzazi mwenziye huyo akiwa bado msichana, muda mwingine alikuwa anavaa mtandio wa kawaida, ila alipokuwa anataka kuja kwa huyo bwana, ili asitambulike, alikuwa akijivika hijab ya nguvu, kuificha sura yote.
 
Mkuu, huwezi kutoa hoja yako bila kutukana?!
Tatizo hapa hakuna mjadala wa kutolea hoja, huu ujinga umelenga kuleta kilinge chake cha wafia dini wenzake kuusapoti huu ujinga
Utalinganishaje Tunisia na Zanzibar kama sio upumbavu(stupidity)
Haya tulinganishe Dubai na Tanzania, kuwa mbona wale wavaa kobazi na kanzu kazi yao kula tende na kahawa lakini nchi yao imeendelea kupita Tanzania ambayo imejaa wakristu kila wizara na ni masikini ya kutupwa, kwanini hao wakristu wasiweze kuifanya Tanzania kuwa kama nchi za kikristu za ulaya kwa maendeleo, nadhani jibu unalo
 
Kwanini nchi za Ghuba zenye utajiri wa mafuta zina maendeleo makubwa kuliko nchi zenye utajiri wa mafuta kama Nigeria, Angola n.k.....hapa pia dini inahusika ?

Kwanini nchi kama Malaysia, Singapore zina maendeleo kuliko mataifa mengi ya Africa ukikusanya kwa pamoja, hapa pia utataja dini ?
Kuna wajinga sana humu
Yaani akili zimejaa upumbavu wa kulinganisha dini yao na dini zingine na tena kwa mantiki ya kijuha,
Hapa ndio utajua unaweza kusoma lakini ukawa hujaelimika,
Ni sawa kama tulinganishe hali ya uchumi wa mwananchi mmoja mmoja kulingana na kila Raisi aliyepita hii nchi?
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Nilipoona andika lako nikaingia mtandaoni kujifanyia tafiti ya haraka haraka, nikakutana na hiki:

1704918486527.png

Sasa sijuwi nikuite muongo au umekosea tu?

Chanzo:
View: https://www.pinterest.com/pin/258042253620764409/
 
Hoja yako wala haiko wazi na hujulikani unalalamikia nini hasa. Inaonesha unachuki zako binafsi za kidini ila unakwama namna ya kuziwasilisha tukuone ulivyo mpuuzi.

Hijab ni aina tu ya nguo kama vile vitambaa vya masista. Sasa Wewe umeona wapi ya aina ya nguo unayovaa inaweza kuleta maendeleo? Saudi arabia na Quwait ni haram mwanamke kutembea kichwa wazi bila Hijjab. Haya sisi Tanzania hatuna sheria hizo za kilazimisha kuvaa hijjab. Tunaizidi Dubai Kiuchumi? Leo wote nchi nzima tukiamua kutembea vichwa wazi au ikibidi uchi kabisa (kama hijaab inazuia maendeleo kwa mtazamo wako), Je tukiwa hivyo unavyotaka wewe kimavazi tu tutaizidi kiuchumi Qatar na Dubai ambako wao huvaa?
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Haya mambo ya hijabu yamekuja miaka ya karibuni baada ya kuibuka Islamic fanatism. Mimi nilisoma sekondari ya kiislamu hapa dar, mabinti hawakuwa wakivaa mavazi ya kidini enzi hizo kama ilivyo leo
 
Back
Top Bottom