Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Serikali kuongozwa kidini hulemaza sana taifa, kwa mfano Iran ni watu wenye akili ila wanacheleweshwa sana na dini ya Kiislamu, sasa hivi wangekua supapawa.
 
Mbona Masister wa kanisa la Roma wanavaa hijabu ?
😑🤣🤣Kwani mtoa mada kalenga nini?

Kama ni wanafunzi katika shule za serikali sioni mantiki ya hilo sababu marasi wakidai kwamba watoto wao hawataki kunyolewa ndiyo Imani yao itakuaje?

Ok yupo mshkaji muhindi mama baba mpemba mkasi haukuwahi kupita katika kichwa chale sababu za Imani yake
Shule za serikali watu wavae kama kawaida.

Shule za Islamic ni sawa hijabu zivaliwe.
 
Binafsi ili vazi hasa mashuleni naona lina athari kwakuwabagua wanafunzi kwa Imani ili swala lakujua yule pale ni Islamic na yule sio nimbaya sana
Huna hoja hapo
Hijabu sio lazima ivaliwe na muislam mzeee
Waarabu sio wote ila wengi hijab na kanzu wameeka ama wamefanya kama sehemu yao yamaisha

Yaani ukitaka kujua huyu muislam ama yule mkristo kwa kuangalia hoja ya kanzu na hijab unakosea
 
Binafsi naona aliyeruhusu hijab Tanzania hakuwa na mapenzi mema ya taifa hili. Hili ni bomu litauwa taifa siku za usoni. Hijab inaonesha wazi taifa lilivyogawanyika kidini. Katika mstakabali wa taifa Faida ya hijab ni ndogo kuliko hasara.
Naombea aje kiongozi jasiri apige marufuku hijab na kutumia majina ya kidini tutumie majina ya asili Kwa mfano Fyandomo Mwakalasya
Miaka zaidi ya 60 tokea mupate huo unaoitwa uhuru lini umewahi kuona athari hasi ya hijab?

Nakama umeiona ni ipi?
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Kwa akili zako unaona hijabu inaathiri nini kwenye kusoma na maendeleo kwa ujumla??

NB

Hakuna muislamu waka nchi ya kiislamu inayoweza kupinga hijabu, ukiona hivyo hapo kuna agenda za watu zishaingia.


Mfano kwa sasa mfalme wa saudia hata akisema hijabu isivaliwe, ni sawa kwake maana ana agenda zake ambazo si za kiislamu
 
Chuki! chuki! chuki!

Kwanini usitamani sikumoja aje kiongozi Apige marufuku UVAAJI WA VIMINI!? Na Kwa wanafunzi Apige marufuku wavulana kuvaa vipensi Shuleni!? Na wanafunzi Wasichana wasio na hijabu watimuliwe!!

Ili kuwe na huo uwiano unaoutaka!?

Ila vazi la hijabu #LINAWAKASIRISHA Mpaka mishipa inawavimba....

𝙠𝙪𝙛𝙚𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙘𝙝𝙪𝙠𝙞 𝙯𝙚𝙣𝙪.
Naona wameamua kudhirisha chuki zao wazi wazi siku baada ya siku
 
Miaka zaidi ya 60 tokea mupate huo unaoitwa uhuru lini umewahi kuona athari hasi ya hijab?

Nakama umeiona ni ipi?
Hijabu imeruhusiwa Rasmi kutumika taasisi za serikali wakati wa Mwinyi. Athari kubwa ni mgawanyiko wa taifa ukienda maofisini, mashuleni wavaa hijab wanajenga taswira ya udini. Unaweza ukadhani ni ofisi ya waislamu kumbe ya serikali.
 
Hijabu imeruhusiwa Rasmi kutumika taasisi za serikali wakati wa Mwinyi. Athari kubwa ni mgawanyiko wa taifa ukienda maofisini, mashuleni wavaa hijab wanajenga taswira ya udini. Unaweza ukadhani ni ofisi ya waislamu kumbe ya serikali.
Sio kweli
Tunakaa na wakristo tuna fanya nao kazi tumesoma nao mavyuoni nk na wanavaa hijab
 
Kuna watu wanachanganya dini na culture.

Waarabu wanavaa kanzu , baraghashia na hijabu kutokana na hali ya hewa kule kwao ni asili ya jangwa hivyo mavazi yale ni ideal.

Ila kuna watu wengine wanachukulia kuvaa hivyo ndio dini yenyewe.
Hawaelewi hili wengi wao ikiwemo mtoa mada
 
Zanzibar Mji Mkongwe, kuna maduka mengi, tena ya waislam, na wengine wana asili ya Uarabuni, kwenye maduka yao, nje wameweka vibao, "Ninja marufuku kuingia dukani". Mmoja alionekana kuwa very friendly, nikamwuliza wanamaanisha nini, na kwa nini? Akanijibu kuwa ninja ni yale mahijabu yanayoficha sura wanayovaa wanawake. Akasema wengi wao ni watu waovu. Wanafanya uhalifu ikiwa ni pamoja na kuiba vitu madukani na kuficha kwenye yale manguo yao, halafu hata ukiwa na security camera huwezi kumtambua.

Ikanikumbusha jamaa mmoja msabato aliyezaa na binti ya ustaadhi. Akasema mzazi mwenziye huyo akiwa bado msichana, muda mwingine alikuwa anavaa mtandio wa kawaida, ila alipokuwa anataka kuja kwa huyo bwana, ili asitambulike, alikuwa akijivika hijab ya nguvu, kuificha sura yote.
Mada inahusiana na hijabu lakini wala sio niqabu

Kuhusiana na huyo msabato na huyo mtoto hao ni wao

Pia upo sahihi na hao wenyewe wapo sahihi mie mwenyewe nlikua sehem dukani mini market

Akaja mmama na mwenzie wakaiba ndoo ya sabuni wakasepa ila tuliwastukia tokea ishu inaanza tukawadaka ila mmoja alistuka akakimbia tuka mdaka mmoja

Ila hoja hapa ni hijab 🧕 na wala sio niqabu
 
Serikali kuongozwa kidini hulemaza sana taifa, kwa mfano Iran ni watu wenye akili ila wanacheleweshwa sana na dini ya Kiislamu, sasa hivi wangekua supapawa.
Nanyie huko kwenu mnalemazwa nanini au mnaongozwa na mas haf kama katiba ya nchi😀🤣😀

Hongereni kwakuizidi iran kiuchumi
 
Ungeelewa vizuri uvaaji wa hijabu ni unafki na ubaguzi. Wengine maandiko yetu yanatuasa kuwa ukisali unaongea na babako aliye sirini, sala zako zisikike, ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia hata mkono wa kushoto usijue. Ss wanaovaa hicho kitambaa wanataka wajulikane ni waislam, unafiki na upumbavu hakuna zaidi ya hapo. Mengine ni matangazo ya dini. Wataacha tu nchi yetu bado changa.
Na wale masister nao wanavaa ili kuuonesha uislam wao?
 
Back
Top Bottom