gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Sasa ndio tunapata picha kamiliHaya mambo ya hijabu yamekuja miaka ya karibuni baada ya kuibuka Islamic fanatism. Mimi nilisoma sekondari ya kiislamu hapa dar, mabinti hawakuwa wakivaa mavazi ya kidini enzi hizo kama ilivyo leo
Kuwa huu mjadala ni wa kuijadili hijabu inayovaliwa na wanafunzi wa kiislamu tena bila shuruti specially kwenye shule zisizo za kiislamu.
Na sio kulinganisha uchumi wa Tunisia na Zanzibar ?