Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Mleta mada hajui tofauti ya niqab na hijab

Kilichozuiwa ni niqab na siyo hijab
IMG_20240111_111032.jpg
 
Serikali kuongozwa kidini hulemaza sana taifa, kwa mfano Iran ni watu wenye akili ila wanacheleweshwa sana na dini ya Kiislamu, sasa hivi wangekua supapawa.
Wawe supapawa mara ngapi....!!!! Ukiona taifa linaogopewa na huyo unaemtambua wewe kama supapawa ujue hilo taifa nalo ni supapawa
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600

Waafrica hawajielewi
 
Ungeelewa vizuri uvaaji wa hijabu ni unafki na ubaguzi. Wengine maandiko yetu yanatuasa kuwa ukisali unaongea na babako aliye sirini, sala zako zisikike, ukitoa sadaka kwa mkono wa kulia hata mkono wa kushoto usijue. Ss wanaovaa hicho kitambaa wanataka wajulikane ni waislam, unafiki na upumbavu hakuna zaidi ya hapo. Mengine ni matangazo ya dini. Wataacha tu nchi yetu bado changa.
Unakosea sana kwa kutueleza kuwa wanaovaa kile kitambaa ni waislam huku ukijua kabisa ya kwamba masista wa kikatoliki wanavaa pmj na wafuasi wa kakobe nao wanavaa
 
Kwanini nchi za Ghuba zenye utajiri wa mafuta zina maendeleo makubwa kuliko nchi zenye utajiri wa mafuta kama Nigeria, Angola n.k.....hapa pia dini inahusika ?

Kwanini nchi kama Malaysia, Singapore zina maendeleo kuliko mataifa mengi ya Africa ukikusanya kwa pamoja, hapa pia utataja dini ?

kama kutwa mnashindia kuvalishana mahijabu na kujadili dini maendeleo mtayatoa wapi
 
MBONA UNAKWEPA WEWE MKOSA RINDA! KAFIRI MKUBWA WEWE UMESAHAU YESU MUNGU MTU WENU JUZI JUZI AMETOA AMRI MUWE MASHOGA MAKAFIR WOTE ULIMWENGUNI

mwanaume kuleta maada za ushoga kwene mijadala huo n ushoga!!
Nawasiwasi naww!!
Sasa hapo unatetea nn huwezi kutukana (ushetan) halafu ukamtetea mungu never au ukaitetea dini ya haki kwa matusi Never
 
Kuna watu wanachanganya dini na culture.

Waarabu wanavaa kanzu , baraghashia na hijabu kutokana na hali ya hewa kule kwao ni asili ya jangwa hivyo mavazi yale ni ideal.

Ila kuna watu wengine wanachukulia kuvaa hivyo ndio dini yenyewe.
Unalijua joto la Jangwa wewe hadi nyuzi 50, Hapa dar tu joto likipanda hadi 36 unaweza vua nguo zote ubaki na boksa sembuse huko kwenye majangwa? Hijab sio vazi la waarabu ni vazi la kiisilamu, kabla Amri ya Hijab haijaja hawakuwa wakivaa na mpaka kesho waarabu wakristo hawavai ama waisilamu ambao sio religious.
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Katika suala la kuendelea hapo Kaka umetereza.
Egypt Ina maendeleo kuliko Tunisia .
Labda useme Tunisia ndio inapiga hatua za maendeleo YA kiuchumi Ila haijaendelea kama usemavyo.
Tunisia ndio nchi YA kwanza Afrika ikifuatiwa na Morocco kuwa Na illegal migrants kuelekea Ulaya Kwa ukosefu mkubwa Wa ajira Na Maisha magumu.
 
illegal immigrants Tunisia wanapita kutokea sub saharan afrika kama vile waethiopia wanavyopita tanzagiza kwenda afrika kusini, …
 
Unalijua joto la Jangwa wewe hadi nyuzi 50, Hapa dar tu joto likipanda hadi 36 unaweza vua nguo zote ubaki na boksa sembuse huko kwenye majangwa? Hijab sio vazi la waarabu ni vazi la kiisilamu, kabla Amri ya Hijab haijaja hawakuwa wakivaa na mpaka kesho waarabu wakristo hawavai ama waisilamu ambao sio religious.
Ulikuwepo kabla ya Amri ya kuvaa hijabu??
 
illegal immigrants Tunisia wanapita kutokea sub saharan afrika kama vile waethiopia wanavyopita tanzagiza kwenda afrika kusini, misri …
Achana Na hao raia Wa Afrika magharibi Na Afrika ya Kati wanaotumia mkondo Wa Bahari ya Tunisia Kama njia.
Tunisia yenyewe imeripoti kuwa Na wimbi la vijana Wa Kitunisia wanaohama nje kiharamu Kwa kukimbia ukosefu Wa ajira.
Tizama habari Kaka .
 
Yale mawigi plus nyie hamchambi chanzo cha UTI sugu husemi ...Kanisani mtu anaingia na viatu vina mavi ya kuku ,mtu anakojoa haoshi mtupu mpaka chupi zina ramani kuwa makini.

Kama ingekuwa nyie hamtaki kufunika kichwa hizo nywele zenu ,msingekuwa mnavaa mawigi yale ni machafu yani nikila mtu kavaa yale madude naweza kutapika kwa sababu ni nywele za maiti.
hakuna anaeruhus kuvaa nywele za marehem , hayo mawigi wavaaj wakubwa ni waislam
 
Back
Top Bottom