Umesahau! Tanzania wakati wote wa utawala wa Nyerere ilikuwaje? Sheria zilikuwa ni hizo hizo katika maeneo hayo hayo wanawake hawakuruhusiwa kuvaa Hijab. Lakini kwa Uwezo wa Allah, leo Tanzania bila Nyerere wanawake wamepata haki yao. Anayetaka avae, na asiyetaka asivae. Nfikiri hii ndio demokrasia. Halikadhalika Uturuki kabla ya miaka 20 iliyopita nayo ilipiga marufuku Hijabu, Leo ni hiari, unataka vaa, hutaki kichwa wazi.
Masuala ya M Mungu yanataka Subira, Insha Allah, wakati utafika tena kwa amani nao wataruhusiwa kuvaa hijab! Kama Tanzania na Uturuki walitatua suala hilo kwa amani, na Tunisia itakuwa hivyo, Insha Allah!