Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

nenda mbagala wadada wadangaj wengi wanavaa dela na baibui mchana jion ndo mavazi yao kwenda kudanga
Hao sio waislamu ...Kwa sababu uislamu una nguzo ya sala lazima watimize ,wana majina ya kiislamu ila sio waislamu.

Yote tisa jina halimfanyi mtu kuwa muislamu wala wazazi wake, yeyote atakayetamka shahada na kufuata uislamu ni muislamu.
 
Wangekua mbali sana maana wana akili, hata wangekua wameishinda Marekani, sema uzombi wa dini ya muarabu hulemaza watu wanakaa kama misukule kazi kuvaa mikanzu tu.
waarabu wanafadhir boko haram kuwazuia waafrika wasisome wakat wao waarab wanaifuata elimu huko America na Ulaya , Sisi waafrika tutastuka tumeliwa na kila taifa hapa duniani
 
Hao sio waislamu ...Kwa sababu uislamu una nguzo ya sala lazima watimize ,wana majina ya kiislamu ila sio waislamu.

Yote tisa jina halimfanyi mtu kuwa muislamu wala wazazi wake, yeyote atakayetamka shahada na kufuata uislamu ni muislamu.
hujui kuwa ni kosa kumvua mtu imani yake ? ilihali yeye bado anajitambua kuwa nj muislam swafiiii
 
Kasome muislamu ni nan kwanza?[emoji28][emoji28]

Kuna uislamu jina na muumini yaani muislamu...

Hakuna kulazimisha wote wale wakina fahy vanny wapo kibao ,wale ni waislamu jina tu ila sio waumini.
kwan kaka unakaa masaa mangap kwa siku na Fayvanny ? mpk ujue yeye ni muislam jina au video yake ya dk 10 unayoiona mtandaoni inatosha kusema yeye haswali kwenye hayo masaa na siku ma miez iliyobakia ambayo humuoni kbs
 
Yule kwanza kaza bila ya ndoa , uislamu hauruhusu wale wanazini milele.

Kuna siku alitembea matiti wazi sio utaratibu wa wasichana wa kiislamu.

Kuunganisha nywele na mawigi haitakiwi...kucha zile hazitakiwi.
 
Hakuna sehemu nimemvua imani yake...Usitake kulazimisha kasome tofauti ya muislamu na asiye muislamu ni nn ?

Hapo Nimekupa taratibu za uislamu sio maneno yangu.
sw ndugu ndio maana nmekuuliza hapo chini , kuwa unamuona kwa dk 10 mtandaoni je hiyo inatosha kumuita muislam jina ? wkt kuna masaa masiku miez humuon na anakuwa na maisha yake binafs , je ni sahihi kumuhukumu kwa kumuona kwa dk 10 tu mtandaoni? Nasubir majib mh wangu
 
Yule kwanza kaza bila ya ndoa , uislamu hauruhusu wale wanazini milele.

Kuna siku alitembea matiti wazi sio utaratibu wa wasichana wa kiislamu.

Kuunganisha nywele na mawigi haitakiwi...kucha zile hazitakiwi.
hahahaaaaa so umehalalisha asiwe muislam swafiii ? awe muislam jina ?
 
sw ndugu ndio maana nmekuuliza hapo chini , kuwa unamuona kwa dk 10 mtandaoni je hiyo inatosha kumuita muislam jina ? wkt kuna masaa masiku miez humuon na anakuwa na maisha yake binafs , je ni sahihi kumuhukumu kwa kumuona kwa dk 10 tu mtandaoni? Nasubir majib mh wangu
Kufanya ibada ni siri ila uislamu haupendi kufanya maovu kweny hadhara.

Yote tisa kuna kupeana nasaha na ukumbusho ..Mjuzi wa yote na mtoa hukumu ni Mungu🙏
Binadamu sote hatujakamilika ila baadhi ya tabia tunajua hazifai ila tunafanya.
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?

Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594

Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Une

Umeishajiuiza kwa nini Papa karuhusu Ushoga kupatizwa Kanisani kufungua ndoa Kanisani wewe umekusaidia nini au umekuwa shoga mkongwe.
 
sw ndugu ndio maana nmekuuliza hapo chini , kuwa unamuona kwa dk 10 mtandaoni je hiyo inatosha kumuita muislam jina ? wkt kuna masaa masiku miez humuon na anakuwa na maisha yake binafs , je ni sahihi kumuhukumu kwa kumuona kwa dk 10 tu mtandaoni? Nasubir majib mh wangu
Dakika 10 unazomuona ndio unazo muhukumia

Hizo 50 ambazo humuoni utamuhukumuje sasa

Anahukumiwa kwa anachoonwa nacho hayo mengine huko hajulikani anafanyaje atajijua na Mungu wake alomuumba na wengine wanaomuona
 
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?

Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?
Umesahau! Tanzania wakati wote wa utawala wa Nyerere ilikuwaje? Sheria zilikuwa ni hizo hizo katika maeneo hayo hayo wanawake hawakuruhusiwa kuvaa Hijab. Lakini kwa Uwezo wa Allah, leo Tanzania bila Nyerere wanawake wamepata haki yao. Anayetaka avae, na asiyetaka asivae. Nfikiri hii ndio demokrasia. Halikadhalika Uturuki kabla ya miaka 20 iliyopita nayo ilipiga marufuku Hijabu, Leo ni hiari, unataka vaa, hutaki kichwa wazi.

Masuala ya M Mungu yanataka Subira, Insha Allah, wakati utafika tena kwa amani nao wataruhusiwa kuvaa hijab! Kama Tanzania na Uturuki walitatua suala hilo kwa amani, na Tunisia itakuwa hivyo, Insha Allah!
 
Back
Top Bottom