Binafsi ili vazi hasa mashuleni naona lina athari kwakuwabagua wanafunzi kwa Imani ili swala lakujua yule pale ni Islamic na yule sio nimbaya sanaTunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?
Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?
Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594
Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Kipimo cha "stara" ni kipi?Hijabu haina shida
Naona hapo waislamu walituzidi hekima
Mwanamke inabidi aavae nguo za stara
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mlinganisho ni wa kijinga na kipumbavuTunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu yoyote ile inayoheshimika, swali ni kwamba kwa nini?
Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?
Watoto wakiwa darasani zanzibar wamevaa hijab
View attachment 2867594
Usafiri mwendokasi mjini Tunis
View attachment 2867600
Hijab is a symbol of oppression and men dominance over womenUsitupangie kuwa kama wao. Kupanga ni kuchagua
πππ π π€£π€£π€£ππππ πHivi akina Mwa J hawasikii joto na hayo majuba?
Kwanini nchi za Ghuba zenye utajiri wa mafuta zina maendeleo makubwa kuliko nchi zenye utajiri wa mafuta kama Nigeria, Angola n.k.....hapa pia dini inahusika ?Binafsi naamimi kuna uhusiano mkubwa kati ya falsafa ya dini na maendeleo jamii husika, mfano kwa nini zanzibar haijaendelea kama mauritius kwa mfano?
Wamepakana na ItalyTunisia ni wajanja maana wanapakana na ufaransa kwahy wamechangamka Sana hawana mambo ya kishamba kama waarabu Koko wa tangi bovu Dar.