GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.
Kama hamna cha kuongea jamani msijaze threads., pitia thread hii ni maudhi matupu sehemu nyingi haina nyama asante sana
Wewe bana! fungua uzi wako! Chips na kande wapi na wapi?
Hii imetukumbusha JF ileeeeeeee!!!!
c kweli anatokea mkoa wa Mara (Mkurya)Anatoka Tabora. Baba yake alikuwa fundi wa magari ya Ikulu enzia ya mwalimu Nyerere na Pinda alimpatia huko, kwa sababu yeye alikuwa Ikulu alikofanya kazi zaidi ya miaka 20 kama mmoja wa MAAFISA USALAMA.
Unataka iwe na nyama kwani hapa ni machinjio ya Vingunguti?
Dr Slaa analipwa ruzuku kutokana na kodi yetu vile vile, na anabeba wa wengine, na kujikopesha kujenga nyumba.
Hapo vipi?
Hiyo mito vipi? Hawaruhusiwi kuhisi maumivu?
unataka iwe na nyama kwani hapa ni machinjio ya vingunguti?
La hasha kutokana na mtiririko wa thread hapo juu ni kwamba pinda ilipofika time ya kupewa cheo ilibidi watu wa kitengo maalum pale St Peter (TISS) wafanye juhudi za kumwozesha kwani alikuwa bachela
sasa katika hiyo shortlist kulikuwa na potential spouses 3
lakini wakatumia njia ya X-Factor akashinda huyo Tunu....lakini kukawa na tatizo ambalo Mtoto wa Mkulima aliliweka wazi kuwa hawezi oa mtu ambaye si wa dini yake....(Proof kuwa Pinda naye ana msimamo ) na huyu bibie kuona kuwa alaaaa kumbe kuna ulaji na dini yake ya kiislam akaachana nayo tena kwa maulid (hilo la maulid sina uhakika nalo)
Lakini kuna maneno kuwa huyu Bi Tunu alikuwa ni devout Muslim na aliwahi kuhiji ndio maana jina lake kule Tabata Ni HAJJAT (sema sina hakika kma wanamwita Hajjat nani au wanamwita BINTI ABDALLAH...kwa heshma ya baba yake0
Sasa kwa mtazamo wa ki saikolojia ni napata picha 2 nazo ni:
1. Mtoto wa Mkulima anao msimamo na anaweza kufanya maamuzi mazito kwa manufaa ya taifa lakini tatizo lake kwa miaka hii 2 iliyobaki hataki kuudhi mawaziri wengine
2. Binti Abdallah aka Bi Tunu aka HAJJAT ni very strong kimsimamo na hasa pale alipoamua kumfuata mumewe na kubadili dini (kwa mapenzi yake kwa mtoto wa mkulima na pia kwa kufuata ulaji...hata mie ningebadili dini)...hivyo basi HAJJAT na nguzo imara nyuma ya mtoto wa mkulima kwani aliweza kufanya maamuzi MAGUMU
labda kwa kuendelea kuufanya huu uzi unoge mimi nina maswali mawili ;
1. JE MTOTO WA MKULIMA ANAZO AMBITIONS ZA KUINGOZA NCHI HII IN 2015 (hata mie nikipata nafasi ya kuongoza watu milioni 45 na nijilie sikatai)
2. JE HAJJAT aka TUNU PINDA aka BINTI ABDALLAH alikuwa anaitwa nani kabla hajaolewa na Mtoto wa Mkulima?
na swali la mwisho la nyongeza....kwenye ile mipango ya ku connect the dots....kuna uwezekano kuwa HAJJAT alienda kuchukua degree yake kama preparation za kuwa First Lady in 2015?
JF.....where we dare talk openly when we are bored with real life
Yaaani kwa akili zike za pinda ndo kawa ikulu for 20 years?tena kama afisa usalama?basi nchi hii haina kitu
mkuu kabembe mzee rehani hana binti mwengine aliyeolewa na pinda zaidi ya huyu tunu ambaye alipata elimu ya kutosha ya madrasa kabla ya kuonana na mh pinda na kuritadi.
niongeze nyama kilo ngapi?Kama hamna cha kuongea jamani msijaze threads., pitia thread hii ni maudhi matupu sehemu nyingi haina nyama asante sana
ni utovu wa nidham tu hakuna kitu hapo ,, sasa cv ya huyu mama inatuhusu nini sisi,, wekeni na za watu wanao wahusu, kama wake zenu,, mama zenu,, na kaka, wajomba kila mtu hapa aweke cv ya mtu anaemhusu,, utoto tu hakuna kingine
Now I understand kwanini Pinda alisimama mbele ya hadhara na kuanza kusimulia hadithi ya Paulo na Sila aliyodai inapatikana katika Zaburi!Anaitwa Mzee Abdallah Rehani na anaishi Tabata.