Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

Yanini wewe hujielewagi hata unapenda kuropoka sana,kiko wapi
 
Atakuja na theory nyingine za kichawi na yanga imeshinda. Sijui ataongea nini pompoma
Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.

Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.

Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
 
Yanga wakishinda leo basi itakuwa wamelegeza shingo na kutuma bahasha kwa mchungaji Mashimo.

Tofauti na hapo hawahami hiyo nafasi ya 3
Makolo mkishinda kesho basi itakuwa mmelegeza shingo na kutuma bahasha kwa Nabii Tito.
 
Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.

Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.

Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
Hahahahaha jamaa ni mmoja wa content provider wa JF , posts zake zinawapa /zinampa engagement
 
Mkuu upo 😂
 
Nilisema nitakusaka baada ya mechi Aya njoo hapa utueleze maana bado ujasema na utasemaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…