Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa ( na wanaojua Fitna za Soka la Bongo ) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo?

Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua leo ni ama mnawafunga au wakibahatika mnatoka nao Sare, ila Wao hawashindi kabisa na Kufungwa nanyi leo ni 75% baada ya Kujiridhisha kwa mlichokifanya cha Nje ya Uwanja huku mkilishana Yamini kwa Watakaowasaliti ( hasa hasa Watu wenu Watatu ) ambao GENTAMYCINE nilishawahi Kuwataja hapa JamiiForums katika Uzi wangu wa Wiki Nne ( 4 ) zilizopita.
Yanini wewe hujielewagi hata unapenda kuropoka sana,kiko wapi
 
Atakuja na theory nyingine za kichawi na yanga imeshinda. Sijui ataongea nini pompoma
Huyu jamaa hana haibu hata kidogo, yani hata chizi anaafadhali.

Ngoja kesho uone atacho post, yani kama hakijatokea kitu vile.

Ifikie hatua huyu azarauliwe, ikibidi post zake zisichangiwe kabisa, awe anajijibu mwenyewe.
 
Hahahahaha jamaa ni mmoja wa content provider wa JF , posts zake zinawapa /zinampa engagement
 
75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo.
Mkuu upo 😂
 
Nilisema nitakusaka baada ya mechi Aya njoo hapa utueleze maana bado ujasema na utasemaaa!!!
 
Back
Top Bottom