Tuoe Wapi?

Alipotoa namba tu palepale akufowadia na matatizo yake..
 
Alipotoa namba tu palepale akufowadia na matatizo yake..
NAMI nililiaa Sanaa maana lakii n nyingiiii wakt n mshahara wa ufagiaji na kupigaa dekii mazingiraa hapa mkuu😀😀😀
 
Beba yeyote mkuu,kote kwa moto
Kutokana na mazingira na tamaduni za watu ndio zinajenga watu kama Congo eneo la Goma wanawake wengi wanamaadili ukienda kwa wasukuma wenye maadili utaona wanavyo behave kwahiyo hata eneo Lina mchango mkubwa sana kwasababu ya maadili ya eneo fulani
 
Mfumo umeshabadilkaa mkuu ,huna budi kwenda mfumo unavyotakaa ,,
Hapana mkuu mwanamke hatakiwi kunipendea pesa kwani pesa huisha ,Je siku nisipokuwa na Hela itabidi aniache aende kwa mwenye Hela?
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
I suggest Konde are useful, based on my 20 yes experience and scientific research.
 
Kwaiyo ukiachana na sisi wadada wa 90's hao wenzetu wa 2000 nao umewashindwa??
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Unaomba ushauri au unaandika waraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…