Tuoe Wapi?

huko kwenye nchi nyingine kukoje mpaka useme bongo ni kwa hivyo, wakat wengine wanakimbilia kuoa bongo, pamoja na hizo unazoziita takwimu lakini wanawake wa kibongo bado ni wanyenyekevu, unaweza kumchapa vibao leo, kesho akasema mume wangu nakupenda
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Sijajua vizuri kuhusu hizo nchi nyingine ulizozitaja ila Kwa upande wa Congo DRC na Zambia Nina uzoefu nao nimeishi nao Kwa kiasi nawafahamu
Wanawake wa DRC Wapewe maua Yao kiukweli wanajua sana kujiheshimu na suala la uzinzi kwako aisee nimeishi nao sana Kwa kweli ni ngumu mno kumkuta mwanamke wa DRC mzinzi
Tofauti na Wazambia ambao hawana tofauti na Wadaslamu
 
Nataka nioe lakini kwa hapa bongo wanawake wengi ni hovyo. Hivyo shauku ya kuoa bongo sina kabisa nilikuwa nafikiri niende Congo ,Rwanda au Ethiopia nadhani angalau wanawake wa huko wana nidhamu na heshima
Yani me nikiona mtu anatafuta mchumba namuona kama vile anahitaji kufa mapema
 
Hata mimi hiki kitu nime experience sana hasa kwa wanawake wa DR Congo wengi wao wamaadili na wameshika dini vizuri.
 
huko kwenye nchi nyingine kukoje mpaka useme bongo ni kwa hivyo, wakat wengine wanakimbilia kuoa bongo, pamoja na hizo unazoziita takwimu lakini wanawake wa kibongo bado ni wanyenyekevu, unaweza kumchapa vibao leo, kesho akasema mume wangu nakupenda
Sio kwa Sasa mkuu ukitaka kujua wanawake wa kibongo ni wa hovyo kaa na bodaboda vizuri wakuambie
 
Nimenyoosha mikono,wanangu wananitosha mkuu...nitazeeka mwenyewe kama nilivyokuja duniani
No please,u need somebody special to carry out and responsible for ur emotional needs.
 
Basi nakushauri fanya uchunguzi vizuri mkuu, hata hapa mjini wapo mabinti wazuri kabisa waliotulia vizuri
Ni ngumu kupata mtu wa maana. Yaani ukweli ni kwamba wanawake wapo lakini huyo wa maana unampatia wapi kwasababu tabia ya mtu unaweza kuiona ukishakaa nae muda mrefu
 
Oa msumbiji nimetafuna wanawake wawili wahuko wako vizuri mkuu
 
Ni ngumu kupata mtu wa maana. Yaani ukweli ni kwamba wanawake wapo lakini huyo wa maana unampatia wapi kwasababu tabia ya mtu unaweza kuiona ukishakaa nae muda mrefu
mkuu si unaweka standard zako? wanawake wako tofauti tofauti weka vigezo vya mwanamke unamtaka, anza kumsaka utampata tuu
 
Karibu bro uwafanulie kidogo hapa jinsi gani Kuna utofauti gani kwenye issue za kudumu kwa ndoa Bongo vs Zambia
Bongo miyeyusho sana braza, kwanza wanawake wa bongo ni omba omba mi huwa siwaelewi kabisa.

Ukimtongoza tu gas inaisha, kioo cha simu kinapasuka, kodi inaisha na anafiwa.

Wanawake wa bongo hawa kina Atoto sio bro
 
Ni ngumu kupata mtu wa maana. Yaani ukweli ni kwamba wanawake wapo lakini huyo wa maana unampatia wapi kwasababu tabia ya mtu unaweza kuiona ukishakaa nae muda mrefu
Hata wewe una mapungufu hakuna mtu aliekamilika. Tafuta huyo mmoja mvumiliane ukishindwa ni kheri usioe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…