Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
huko kwenye nchi nyingine kukoje mpaka useme bongo ni kwa hivyo, wakat wengine wanakimbilia kuoa bongo, pamoja na hizo unazoziita takwimu lakini wanawake wa kibongo bado ni wanyenyekevu, unaweza kumchapa vibao leo, kesho akasema mume wangu nakupendaResearch mkuu ndio inasema Kuvunjika kwa ndoa nyingi Tanzania kunachangiwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na matatizo ya kifedha, maadili, na kutokuelwana. Utafiti wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu (2019) umeonyesha kuwa ndoa nyingi zinaathiriwa na mabadiliko ya kijamii, ambapo wanawake wanapata uhuru zaidi kiuchumi na kijamii, pia utandawazi nao unasabibisha .....