Tuoe Wapi?

Tuoe Wapi?

Tanzania imebarikiwa wanawake wazuri sana, na wenye tabia nzuri nakushauri oa hapa hapa bongo.
 
Sehemu gani mkuu Mimi wengi ninaokaa nao na kufanya utafiti wengi nagundua ni wa hovyo hivyo Sina budi kuachana nao. According to my research kwenye wanawake 10 naweza kusema 3 ni wife material (not logically proof according to my opinion). So kwa bongo bhana si support kabisa kutafuta mbongo mwenzako if umepata mtu wa kueleweka mchukue else fight to find a better mom for your kids
 
Wapo aisee sema ndio hivyo haujabahatika kukutana nao.
Ila kama unataka uvuke border sio mbaya kila la kheri ndugu.
 
Mfano nyanda za juu kusini kuna wanawake poa sana.
 
Wapo aisee sema ndio hivyo haujabahatika kukutana nao.
Ila kama unataka uvuke border sio mbaya kila la kheri ndugu.
Hapana mkuu sema ni better kwanza kufanya research in both areas kuanzia bongo alafu baadae tuingie huko nje lakini kwanini tunatafuta watu wenye maadili ni ili kujenga familia bora kwa Tz unaweza kumpata mwanamke mka pendana sana but in real sense ana maadili mabovu na mwisho wa siku unatengeneza familia isiyo staarabika
 
Wanawake wenye unafuu ni wa Asia... Sijawahi kusikia wamefilisi au kuua mtu..

Umejaribu kanda ya ziwa lakini ukitoa wahaya?
 
Ni kweli mkuu, wanawake wa Kanda ya ziwa kweli wamelelewa kimaadili sana lakini siwezi ku cope na wanawake wa Kanda ya ziwa kwasababu moja tu wengi wao wakisha soma huwa wanadharau sana kitu ambacho hakipendezi it's better mwanamke akaonyesha heshima sana kuliko upendo.
 
Ni kweli cha msingi ni kupata mtu ambaye mtajenga familia bora yenye maadili.
 
Bongo miyeyusho sana braza, kwanza wanawake wa bongo ni omba omba mi huwa siwaelewi kabisa.

Ukimtongoza tu gas inaisha, kioo cha simu kinapasuka, kodi inaisha na anafiwa.

Wanawake wa bongo hawa kina Atoto sio bro
🤣🤣🤣🤣 bro hata mie wanawake wa kibongo siwakubali wala nini. Full njaa yaani.
 
Back
Top Bottom