Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #161
Kabisa mkuu lakini watu wengi Sasa hivi wamekuwa na tamaduni moja ukienda kwenye sehemu za wadada poa utakuta kila kabila except some tribe kama wamasaiKumbe unajuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu lakini watu wengi Sasa hivi wamekuwa na tamaduni moja ukienda kwenye sehemu za wadada poa utakuta kila kabila except some tribe kama wamasaiKumbe unajuwa
Sehemu gani mkuu Mimi wengi ninaokaa nao na kufanya utafiti wengi nagundua ni wa hovyo hivyo Sina budi kuachana nao. According to my research kwenye wanawake 10 naweza kusema 3 ni wife material (not logically proof according to my opinion). So kwa bongo bhana si support kabisa kutafuta mbongo mwenzako if umepata mtu wa kueleweka mchukue else fight to find a better mom for your kidsTanzania imebarikiwa wanawake wazuri sana, na wenye tabia nzuri nakushauri oa hapa hapa bongo.
Wapo aisee sema ndio hivyo haujabahatika kukutana nao.Sehemu gani mkuu Mimi wengi ninaokaa nao na kufanya utafiti wengi nagundua ni wa hovyo hivyo Sina budi kuachana nao. According to my research kwenye wanawake 10 naweza kusema 3 ni wife material (not logically proof according to my opinion). So kwa bongo bhana si support kabisa kutafuta mbongo mwenzako if umepata mtu wa kueleweka mchukue else fight to find a better mom for your kids
Mfano nyanda za juu kusini kuna wanawake poa sana.Sehemu gani mkuu Mimi wengi ninaokaa nao na kufanya utafiti wengi nagundua ni wa hovyo hivyo Sina budi kuachana nao. According to my research kwenye wanawake 10 naweza kusema 3 ni wife material (not logically proof according to my opinion). So kwa bongo bhana si support kabisa kutafuta mbongo mwenzako if umepata mtu wa kueleweka mchukue else fight to find a better mom for your kids
Hapana mkuu sema ni better kwanza kufanya research in both areas kuanzia bongo alafu baadae tuingie huko nje lakini kwanini tunatafuta watu wenye maadili ni ili kujenga familia bora kwa Tz unaweza kumpata mwanamke mka pendana sana but in real sense ana maadili mabovu na mwisho wa siku unatengeneza familia isiyo staarabikaWapo aisee sema ndio hivyo haujabahatika kukutana nao.
Ila kama unataka uvuke border sio mbaya kila la kheri ndugu.
Kwa Wanyakyusa,Wasafa huko auMfano nyanda za juu kusini kuna wanawake poa sana.
Ni kweli mkuu, wanawake wa Kanda ya ziwa kweli wamelelewa kimaadili sana lakini siwezi ku cope na wanawake wa Kanda ya ziwa kwasababu moja tu wengi wao wakisha soma huwa wanadharau sana kitu ambacho hakipendezi it's better mwanamke akaonyesha heshima sana kuliko upendo.Wanawake wenye unafuu ni wa Asia... Sijawahi kusikia wamefilisi au kuua mtu..
Umejaribu kanda ya ziwa lakini ukitoa wahaya?
Sio hao tu wapo wengi sana kuna wanyamwanga,wandali na wengine wengi.Kwa Wanyakyusa,Wasafa huko au
Ni kweli cha msingi ni kupata mtu ambaye mtajenga familia bora yenye maadili.Ni kweli mkuu, wanawake wa Kanda ya ziwa kweli wamelelewa kimaadili sana lakini siwezi ku cope na wanawake wa Kanda ya ziwa kwasababu moja tu wengi wao wakisha soma huwa wanadharau sana kitu ambacho hakipendezi it's better mwanamke akaonyesha heshima sana kuliko upendo.
Kwa Sasa hivi nipo ukanda huu wa nyanda za juu kusini but still kutokana na qualifications zangu ni better kufanya research zaidiSio hao tu wapo wengi sana kuna wanyamwanga,wandali na wengine wengi.
✅✅✅Ni kweli cha msingi ni kupata mtu ambaye mtajenga familia bora yenye maadili.
Kumbe unanijua🤣ulivyo muongo wewe
🤣🤣🤣🤣 bro hata mie wanawake wa kibongo siwakubali wala nini. Full njaa yaani.Bongo miyeyusho sana braza, kwanza wanawake wa bongo ni omba omba mi huwa siwaelewi kabisa.
Ukimtongoza tu gas inaisha, kioo cha simu kinapasuka, kodi inaisha na anafiwa.
Wanawake wa bongo hawa kina Atoto sio bro
Nao ni mafurushi pia ? Eti dada espy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro hata mie wanawake wa kibongo siwakubali wala nini. Full njaa yaani.
Hapanaaaaa, mafurushi ni wanaume tu!Nao ni mafurushi pia ? Eti dada espy
Haupo tayari kuoa usilazimishe. Kama unahitaji mfanyakazi ajiri akupike na kukufanyie usafi.Sifahamu kwa kweli logically Sina majibu kuhusu hili
😂😂😂Njaa Kali, less nidhamu++ cheating za kutosha🤣🤣🤣🤣 bro hata mie wanawake wa kibongo siwakubali wala nini. Full njaa yaani.
Ni jambo jema.Kwa Sasa hivi nipo ukanda huu wa nyanda za juu kusini but still kutokana na qualifications zangu ni better kufanya research zaidi