Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

Mimi uelewa wangu ni infinity
Wewe nafikiri unajua AI kazi yake ni kuchora picha tu na kuuliza maswali

Lakini wataalam wote wa AI wanaonya ila wewe usie na utaalam wowote unaita hofu ya mtu mweusi
 
Jamaa anahofia kwamba AI itakuja KUMDINYIA MKEWE IN THE FUTURE, au Almanusra Kudinywa, na hii ni Hofu Kubwa kwa Kamanda wetu aliyeposti hii thread. HEBU ndugu zangu mu-Imagine, Unaamka asubuhi na kugudua kuwa Mkeo na wewe wote Mmedinywa , Mnapelekwa Hospitali kucheki vipimo na daktari anawajibu kuwa WE ARE VERY SORRY aliyewadinya ni Ai and there is NOTHING WE CAN DO. .........
 
Hata wakati simu ndo zinaingia duniani watu walizipinga, hakuna kitu kipya kinachoingia bila kupingwa
 
Teknolojia za miaka kadhaa mbele ni hatari kwa mwanadamu.
Kuanzia vyakula, machine na hata hii akili bandia
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Sawa mkuu
 
Hatari mkuu.

Kinachotisha zaidi wataalam wenyewe wanaigopa tofauti kubwa teknolojia za nyuma zilizokuwa zikiogopwa na kupingwa na watu wengi wa kawaida ila kwa AI inaanza kuogopwa na wataalam wenyewe hasa uwezo wa kujifunza na kujichukulia maamuzi yenyewe
 
Wewe nafikiri unajua AI kazi yake ni kuchora picha tu na kuuliza maswali

Lakini wataalam wote wa AI wanaonya ila wewe usie na utaalam wowote unaita hofu ya mtu mweusi
AI itafanya yote Ila haitimoweza kufikia uwezo wa binadamu in thinking , so ukiwa smart don't worry about AI
 
Hatari mkuu.

Kinachotisha zaidi wataalam wenyewe wanaigopa tofauti kubwa teknolojia za nyuma zilizokuwa zikiogopwa na kupingwa na watu wengi wa kawaida ila kwa AI inaanza kuogopwa na wataalam wenyewe hasa uwezo wa kujifunza na kujichukulia maamuzi yenyewe
Ni hatari kubwa, sasa hii ai ikae kwa robot, inakuwaje hapo.. robot awe na hisia za upendo, chuki na kila kitu.. race ya binadamu itapotea
 
AI itafanya yote Ila haitimoweza kufikia uwezo wa binadamu in thinking , so ukiwa smart don't worry about AI
Na ndio maana nikasema una uelewa mdogo tofauti na wataalam wenyewe wa AI.

Unamjua Geoffrey Hinton, Stephen Hawking ?
 
Ni hatari kubwa, sasa hii ai ikae kwa robot, inakuwaje hapo.. robot awe na hisia za upendo, chuki na kila kitu.. race ya binadamu itapotea
Unajua mkuu strength yetu sisi watu ipo kichwani tofauti na wanyama wengine sasa tunachofanya kwa AI ni kuipa strength yetu.

Ni sawa na marekani iwape siri zake zote za kijeshi Korea Kaskazini nafikiri unachojua kitakacho tokea.

Hawa wanyama wangekuwa na uelewa mpana kutushinda sisi leo tungekuwa mateka wao lakini imekuwa kinyume kwa sababu kichwani tunawazidi sasa tunapo elekea kwa AI ni balaah lingine tunatengeneza tunampatia adui yetu silaha yetu ya uimara wetu
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Umeishia kusema tu tuipinge tuipinge hatujui AI ijayo itakuaje. Jipange uandike ulichokifikia
 
Hawa ni binadamu walioamu kushindana na kudhibitiana kwa AI ni kinyume chake ni binadamu dhidi ya machine.
Hatari iliyopo kwa binadamu sio ugunduzi wa Ai, comp, wala tech yoyote ile, hatari iliyopo kwa binadamu ni kiu ya binadamu kumuangamiza binadamu mwingine.
NUKE zimetengenezwa kwa ajili ya nani? Zilikuwepo kabla ya Ai?
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Hii post itakuja iwe moja ya rejea za maana sana kwa kizazi kijacho...inshort jina lako litaishi sana ndani yao. Acha hawa wa sasa wakuone umechanganyikiwa.
 
Kinacho ogopwa ni matokeo ya hayo mabadiliko kwa human race tunazungumzia AI
Unaambiwa hata ujio wa magari ulitisha na kuogopwa. Mpaka zikawekwa sheria kali, mojawapo ni mtu aliyeshika bendera kutangulia mbele .
Hatuwezi kuzuia mabadiliko, la msingi ni kujifunza namna ya kufaidika na mabadiliko (kuwa upande wa kufaidika)
Wakati wewe unaona watoto wakipiga fimbo makaburi, Mimi nawaona wakikaa kunywa kahawa huku AI robot ikizoa samadi, ikikamua maziwa, ikiweka chakula, iki entertain ng'ombe n.k
 
Back
Top Bottom