Tuogope sana kuhusu AI yajayo haya furahishi hata kidogo

Unaambiwa hata ujio wa magari ulitisha na kuogopwa. Mpaka zikawekwa sheria kali, mojawapo ni mtu aliyeshika bendera kutangulia mbele .
Hatuwezi kuzuia mabadiliko, la msingi ni kujifunza namna ya kufaidika na mabadiliko (kuwa upande wa kufaidika)
Wakati wewe unaona watoto wakipiga fimbo makaburi, Mimi nawaona wakikaa kunywa kahawa huku AI robot ikizoa samadi, ikikamua maziwa, ikiweka chakula, iki entertain ng'ombe n.k
Ni kweli, Hata kitu kidogo kama kalamu ilikuja ili kumsaidia binadamu, lakini ikigeuzwa silaha inamuua. Ai imekuja ili kurahisisha maisha ya mwanadamu, tatizo ni adui mkuu wa mwanadamu ambaye ni mwanadamu atakapoamua iwe silaha.
 
Itawafanya watu kuwa wavivu kutumia bongo zao kutatua changamoto manually, itafikia kipindi ,ukitaka kitu unasema tu automatically kina kuja . Kizazi kijacho kitakuwa na watu mayai mayai sana reasons behind mambo mengi yatakuwa yakifanywa na mashine.
 
AI inauwezo wa kutenda tofauti na inavyo hitajika kutenda kupitia kujifunza itakuwa na uwezo wa kuchukua maamuzi yake yenyewe.

Mind you zina tengenezwa silaha zenye AI teknolojia na mataifa makubwa
Mfano kwa sasa kuna drone yenye AI,inapewa tu maagizo kwenda kumpiga mlengwa,na kurudi kwa mmiliki wake,bila kugundulika kwa adui,haina GPS,kwakuwa gps ni rahisi kuitrack kwa sasa.
 
Ni kweli, Hata kitu kidogo kama kalamu ilikuja ili kumsaidia binadamu, lakini ikigeuzwa silaha inamuua. Ai imekuja ili kurahisisha maisha ya mwanadamu, tatizo ni adui mkuu wa mwanadamu ambaye ni mwanadamu atakapoamua iwe silaha.
Exactly
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.

Same old cry
 
Usiogope, kila kitu ni fursa, AI lazima ipate mdhibiti.
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Yaani noma kwakweli
 
Sikushangai kuna waliokuwa wanaipinga Facebook tu... kikwapi kwa sasa..
Actually dunia lazima inmbadilikehaiwezi kuwa static hasahaha ktk nyakati hizi za ugunduzi wa tekinolojia lazima binadamu watashuhudia mabadiliko makubwa sana ya kimaisha kupitia tekinolojia.
 
Siku tukifika kwenye ASI ndio huu uzi utaeleweka
 
Elimu ni silaha. Itategemea mtumiaji atakavyoitumia. A.I ni kama silaha itategemea na mtumiaji kwasasa faida yake ni kubwa ila hatujui baadae. Hata dawa huwa sumu kutegemea na ilivyotumiwa.
Tatizo si kwa huyo tu anayeitumia, tatizo atawaathiri wasiohusika au wasioijua hata hiyo AI,, mfano hivi karibuni nilishuhudia mtoto mmoja akilia tena kwa uchungu baada yakuona video moja mheshimiwa fulani akirukishwa kichura na kupigwa teke,sasa fikiria mtoto kama huyu au at mtu mzima asiyeelewa kuwa hiyo ni AI imehusika,ni kazi kweli kweli kumwelimisha hadi akawa sawa,ni athari kubwa ilioje!!? Unadhani.
Kwa hiyo AI ina more than multiple effect kwa watu wengi zaidi,usipime
 
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.

Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.

Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.

AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.

AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Tumeshindwa kuungana kuilaani sisiem ambayo shubiri yake tunailamba hadi kesho na madhara ni makubwa tutawezaje kupinga AI? hakika makaburi yetu yatacharazwa bakora na kizazi kijacho!
 
Back
Top Bottom