Kati ya wewe na huyu mzungu Godfather wa AI nani ana uelewa mpana ? Au umekariri tu mambo ya watu weusi na hofuWatu weusi hamjiamini na mnaogopa mabadiliko kitu Ambacho hakifai .
Mimi natamani tukifike hatua science iwe ina run dunia na tusiwe tunakufa
Mimi uelewa wangu ni infinityKati ya wewe na huyu mzungu Godfather wa AI nani ana uelewa mpana ? Au umekariri tu mambo ya watu weusi na hofu
View: https://youtube.com/shorts/LuNN32Tmc9c?si=IIsTdGTq0FfelbHW
Sawa mkuuKaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.
Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.
Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.
AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.
AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Hatari mkuu.Teknolojia za miaka kadhaa mbele ni hatari kwa mwanadamu.
Kuanzia vyakula, machine na hata hii akili bandia
AI itafanya yote Ila haitimoweza kufikia uwezo wa binadamu in thinking , so ukiwa smart don't worry about AIWewe nafikiri unajua AI kazi yake ni kuchora picha tu na kuuliza maswali
Lakini wataalam wote wa AI wanaonya ila wewe usie na utaalam wowote unaita hofu ya mtu mweusi
Ni hatari kubwa, sasa hii ai ikae kwa robot, inakuwaje hapo.. robot awe na hisia za upendo, chuki na kila kitu.. race ya binadamu itapoteaHatari mkuu.
Kinachotisha zaidi wataalam wenyewe wanaigopa tofauti kubwa teknolojia za nyuma zilizokuwa zikiogopwa na kupingwa na watu wengi wa kawaida ila kwa AI inaanza kuogopwa na wataalam wenyewe hasa uwezo wa kujifunza na kujichukulia maamuzi yenyewe
Unajua mkuu strength yetu sisi watu ipo kichwani tofauti na wanyama wengine sasa tunachofanya kwa AI ni kuipa strength yetu.Ni hatari kubwa, sasa hii ai ikae kwa robot, inakuwaje hapo.. robot awe na hisia za upendo, chuki na kila kitu.. race ya binadamu itapotea
Umeishia kusema tu tuipinge tuipinge hatujui AI ijayo itakuaje. Jipange uandike ulichokifikiaKaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.
Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.
Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.
AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.
AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Hatari iliyopo kwa binadamu sio ugunduzi wa Ai, comp, wala tech yoyote ile, hatari iliyopo kwa binadamu ni kiu ya binadamu kumuangamiza binadamu mwingine.Hawa ni binadamu walioamu kushindana na kudhibitiana kwa AI ni kinyume chake ni binadamu dhidi ya machine.
Hii post itakuja iwe moja ya rejea za maana sana kwa kizazi kijacho...inshort jina lako litaishi sana ndani yao. Acha hawa wa sasa wakuone umechanganyikiwa.Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.
Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao endelezwa na mataifa makubwa.
Yajayo kuhusu AI hayafurahishi hata kidogo kwa kizazi changu na chako.
AI hii iliyopo sasa tunayo ichekea sio AI ijayo tukae tukishuhudia mapinduzi haya ya AI yasiyo dhibitiwa kijazi chetu kijacho kitatulaani na kuchapa fimbo makaburi yetu.
AI ni tishio kubwa lijalo kuliko linavyo chukuliwa sasa.
Kwahiyo ukiona mzungu kaongea unakubali 100%?Na ndio maana nikasema una uelewa mdogo tofauti na wataalam wenyewe wa AI.
Unamjua Geoffrey Hinton, Stephen Hawking ?
Unaambiwa hata ujio wa magari ulitisha na kuogopwa. Mpaka zikawekwa sheria kali, mojawapo ni mtu aliyeshika bendera kutangulia mbele .Kinacho ogopwa ni matokeo ya hayo mabadiliko kwa human race tunazungumzia AI