Nimegundua wasioona hasara ktk matokeo ndio wny shida kubwa zaidi ya kuona future ktk muono wa hasara.
Haiwezekani matokeo yawe na faida tu bila wkt flan kuwa na hasara au hatari.
Sishangai ndo kizazi cha sasa thinking capacity is limited at some angles.