Yaani anawapenda wale C-19 lkn anamchukia M/Kiti na Chama chao.Katika jambo hili la c19,sijajua mpka sasa au labda sijasikia vizuri,Je wabunge hawa walifikaje huko bungeni?na kwa nini mara baada ya kuambiwa CDM haijateua wabunge bado Ndugai aliendelea na utaratibu wa kuwaapisha? Nao hao wabunge hawaoni aibu kwamba waliingia bungeni bila ridhaa ya chama.Tugeuke upande wa pili wa CDM,.mbona hiyo rufani yao waliyoikata haisikilizwi ili waka clear hii dust? naadha kuwahisi vibaya hawa CDM.kuna kitu Ndugai anakijua zaidi kuliko wengine wote.
Ni haki ya Watanzania wote kufuatilia na kupata ukweli juu ya hiyo tuhuma.
Hoja nyepesi ya Ndugai eti kuna unyanyasaji wa kijinsia ni kama koti tuu lililofunika kitu.So yeye ni mwanaharakati wa masuala ya jinsia.
Halafu,kitu kingine ambacho kinaacha maswali mengi,yaani upendo wa Ndugai wa kiasi hicho kwa wapinzani unatoka wapi?
Hili la ndugai lingestahili wabunge kumwajibisha. Amelewa ukuu hadi anaona bunge kama kampuni yake binafsi.Nianze kwa kumshukuru Nape Nnawie kwa kutoa hoja iliyomtoa nyoka pangoni. Kwa muda sasa Watanzania wamekuwa wakijiuliza ni lini spika atajitokeza na kutoa kauli juu ya wabunge hao 19 wasio na chama. Alipojitokeza amekuja na hoja zilizoongeza mkanganyiko ambazo zinahitimisha kwa msimamo kuwa wabunge hao anawatambua na ni wabunge halali.
Hajasema ametumia kipengele gani cha katiba, kanuni au mwongozo unaompa mamlaka hayo. Kwa mtazamo wangu mimi Ndugai amevunja katiba na anatumia ubabe kuendelea kuvunja katiba.
Katiba ni mali ya watanzania wote na kila mmoja wetu ana wajibu wa kuilinda. Kwa muktadha huo mimi ningependekeza mojawapo ya mambo yafuatayo yafanyike;
1) Wabunge wa CCM wapige kura ya kutokuwa na imani na spika. Wabunge wa kutosha wa aina ya Nape wakipatikaba Ndugai anaweza kutolewa na kutuachia katiba yetu.
2) Mwenyekiti wa chama chake cha CCM mama Samia Suluhu Hassan aitishe kikao cha CC cha chama jumjadili na kumshinikiza Ndugai achukue hatua staiki. Aibu anayofanya Ndugai ni kwa chama chake pia
3) Ili kufifisha aibu ya kulazimika kubadili msimamo spika awaombe hao wabunge wake wajiuzulu ili tuanze ukurasa mpya. Utaratibu uanze kwa CHADEMA kufuata taratibu zote zinazohusu uteuzi wa wabunge wa viti maalum.
4) Halima Mdee ni mwanasheria. Nakumbuka katika moja ya mijadala ya bunge lilopita Halima aliwahi kumtambia Prof. Kabudi kuwa yeye Halima ana Cheri cha uwakili. Nashauri aonyeshe umahiri wake wa sheria kwa kuheshimu katiba na kuamua kujiuzuru ili mchakato wa kikatiba na kisheria uchukue mkondo wake.
5) Spika wastaafu mama Anna Makinda na mzee Pius Msekwa mwiteni chemba kijana wenu huyu ambae mwenyewe anajigamba kupata uzoefu toka kwenu mwambieni anayoyatenda anakinajisi kiti cha spika aache na atekeleze matakwa ya kikatiba. Najua mzee Msekwa ukishalitolea ufafanuzi suala hili lakini ingefaa iwe ya mojakwamoja zaidi.
Nihitimishe kwa kutoa msisitizo kwamba mambo anayofanya Ndugai yanatuaibisha sisi sote kama taifa na kuonekana kuishi katika nchi ambamo viongozi wetu tumewaacha watuongoze kifalme bila kufuata taratibu za kikatiba.
Naomba kuwasilisha.
Mungu ndiye atakayejibu ombi langu, siyo wewe.Utazeeka vibaya kuliko yeye maana hujajibu hoja unalialiatu kuomba usizeeke.
Wewe nae ushakuwa trash,bora ujikalie kimya tuu kuchamba kwingi mwishoni una uchafu mikononi.Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Wewe na yeye wote ni pipa la taka na mfuniko wake usiofunga vizuri.But mzee mayalla ana point.....rudia tena kumsoma kwa utulivu
Paschal Mayalla;Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
HahahahaAu Ndugai aachiwe Mungu kama ilivyofanyika kwa mbabe flani
Pascal, wewe ni mjuvi wa mambo mengi ila si mjuvi wa kila kitu. Wakati mwingine Kubali kuwa huwezi kuwa sahihi, huwezi kututisha eti "tungejua Speaker ana nini mkononi"! Tujue ili iweje? Natural Justice ni ipi unayozungumzia? Waliitwa wakasikilizwe, hawakwenda, ulitaka Chadema wafanyeje? Katiba inazungumzaje? Barua gani wanaitaka?Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Achana na mjinga huyo, ukifukuzwa umefukuzwa, vikao vilikaa, waliitwa hawakutokea, hivyo wamefukuzwa hadi vikao vyao vitakapotengua vinginevyo wamekuzwa hamna mjadala juu ya kufukuzwa, mnawawekaje bungeni bila chama?Mungu anisaidie, nisizeeke vibaya kama Pascal Mayala. Kama moja ya athari ya uzee ni kuwa hivi, hakika uzee unatisha.
Kweli wewe ni mayala😁Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.

Mungu anisaidie, nisizeeke vibaya kama Pascal Mayala. Kama moja ya athari ya uzee ni kuwa hivi, hakika uzee unatisha.
Mkuu mi nakuambia labda hilo Baraza kuu sijui litakuja kukutana 2025 karibu Bunge kuvunjwa ndo litakuja kutoa maamuzi kuwa wafukuzwe labda..!! Lakini sasahivi ata usishangae lisipokaa kabisaa mpaka 2025.Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Paskal bwana, Yaani pasua kichwa!! Unasema hawakusikilizwa Eti!! Hawa 19 walipewa nafasi ya kujitetea mbele ya CC ya Chadema, hawakuenda. Ulitaka CC iwabembeleze?? Haiwezekani!!Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Hili suala la wabunge 19 wa Chadema, watu mnahamanika bure tuu. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, common laws, ambao unafuata kanuni za natural justice. Kanuni ya kwanza inasema, everbody is presumed inocent until proven guilt, 2. no one is condemned unheard 3. The burden of proof, lies with the prosecution, the one who alleges, must prove.
Kwanini kina Halima wamehukumiwa bila kusikilizwa?. Kwa vile Spika kapelekewa majina na NEC, Chadema ndio the ones who alleges kuwa hao wabunge wame foji, and must prove, kuwa hawakuwateua, wala hawakuandika barua. Laiti mgejua Spika ana nini mkononi inayompa kiburi hivyo, CC ya Chadema isiwatumua, na sasa kikao cha BUK la Chadema, litapindua maamuzi ya CC ya Chadema, mchezo utakuwa umekwisha.
Just wait and see.
P
Forgery ni kosa la jinai. Kama Chedema haikupeleka majina NEC, maana yake kuna mtu amefoji hiyo barua na kuipeleka NEC, hivyo Spika yeye ameletewa majina from NEC. Swali ni kwanini mpaka sasa, Chadema hawajaripoti polisi ili uchunguzi wa kijinai ufanyike, Polisi wataomba nakala ya hiyo barua, na kufanyiwa forensic investigations kama ni kweli hizi saini kwenye barua hizo, zimefojiwa, zikikutwa ni sahihi za halali, then ni barua halali!. Huwezi leo kuwatea wabunge kwa halali, barua halali, halafu kesho wewe wewe ukawatimua, na kupeleka barua nyingine kuwa huwatambui na huitambui ile barua ya awali iliyowateua. The burden of proof lies with Chadema to prove jinai ya forgery.Msimamo wa CHADEMA wanadai hawakuwahi kuteua wala kutuma majina ya Wabunge wa viti maalum kwenda Time ya Uchaguzi.
Kwa nini hoja hii haizungumzwi na Spika wala Tume ya Uchaguzi? Spika alipewa na nani majina ya hao Wabunge?
Hoja ya kutaka hao Wabunge wapewe haki ya kusikilizwa ni ya Spika ama ni ya Mahakama? Ni kanuni ipi inamtaka Spika apewe barua ikiambatana na Muhtasari wa vikao vya Chama?
Wee mungu hujibu ila kwa kuchelewa sana maana anamambo ya huruma ,si hatukuomba amudedishe tuliomba amtoe madarakaniAu Ndugai aachiwe Mungu kama ilivyofanyika kwa mbabe flani