Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Duh...!.Nihitimishe kwa kutoa msisitizo kwamba mambo anayofanya Ndugai yanatuaibisha sisi sote kama taifa na kuonekana kuishi katika nchi ambamo viongozi wetu tumewaacha watuongoze kifalme bila kufuata taratibu za kikatiba.
Naomba kuwasilisha.
P