Tuondokane na mtindo wa Kununua gesi ya kupikia kama tununuavyo nyama buchani

Tuondokane na mtindo wa Kununua gesi ya kupikia kama tununuavyo nyama buchani

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao.
Customized-Color-Kitchen-Accessories-Propane-LPG-Gas-Meter-Cylinder-Pressure-Regulator.webp
Customized-Color-Kitchen-Accessories-Propane-LPG-Gas-Meter-Cylinder-Pressure-Regulator.webp
 
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao. View attachment 3541735View attachment 3541735
Kushindwa kuchangia bandiko hili kunaonesha ni jinsi gani watanzania tusivyopenda haki zetu kwenye manunuzi ikiwemo tikiti za mabasi na bili za maji ambao tunatozwa ujazo kamili hata kama umetumia robo Lita.
 
Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao. View attachment 3541735View attachment 3541735
Mbona reguleta zenye mita zipo mkuu, tanvu 2014 natumia aina hii ya regulator zinauzwa 35k tu.
 
Hii mifumo tunayotaka saivi kuna mahala tulikosea toka mwanzo
 
Back
Top Bottom