Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Kushindwa kuchangia bandiko hili kunaonesha ni jinsi gani watanzania tusivyopenda haki zetu kwenye manunuzi ikiwemo tikiti za mabasi na bili za maji ambao tunatozwa ujazo kamili hata kama umetumia robo Lita.Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao. View attachment 3541735View attachment 3541735
Ila, watekelezaji ndio wenye mitungi, wao wa ajali faida ya chee.
Mbona reguleta zenye mita zipo mkuu, tanvu 2014 natumia aina hii ya regulator zinauzwa 35k tu.Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao. View attachment 3541735View attachment 3541735
Mita husika zinatakiwa ziwe kwenye mitungi, tununuapo gesi zinatakiwa some mitungi umejaa na si vinginevyo.Mbona reguleta zenye mita zipo mkuu, tanvu 2014 natumia aina hii ya regulator zinauzwa 35k tu.
Ndiyo hizo nakwambia si kama hiyo hapo uliyoweka?Mita husika zinatakiwa ziwe kwenye mitungi, tununuapo gesi zinatakiwa some mitungi umejaa na si vinginevyo.
Gesi yenyewe iko wapi?Tununuapo gesi huwa mitungi inapimwa kwa kutumia vimizani vya kila aina visivyo na ubora, sasa wakati umefika wa kuondokana na hivyo vimizani vinavyotupunja ujazo na mamlaka ilazimishe makampuni husika ya kujaza gesi yaweke mita kwenye mitungi yao. View attachment 3541735View attachment 3541735