Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
In general mkuuKwa tamaduni za Kiafrika au za kabila fulani Tanzania?
Huyo anayeopereiti hiyo mashine haitakiwi awe mkwe.Tatizo siyo nguo kufuliwa,je anayefua ninani?Tatizo ni umaskini tu ila nguo zilipaswa kufuliwa kwa washing mashine.
Kama baba mkwe au simply baba huwezi ku operate washing machine kisa ubaba wako basi kuna tatizo big sana sehemuHuyo anayeopereiti hiyo mashine haitakiwi awe mkwe.Tatizo siyo nguo kufuliwa,je anayefua ninani?
Yawezekana baba mkwe ni mgonjwa,ndomaana lakini hiyo haihalalishi MKWE kuopareiti washing machine,afue boksa na nguo nyingine za babamkwe wake,ni utovu wa nidhamu.Kama baba mkwe au simply baba huwezi ku operate washing machine kisa ubaba wako basi kuna tatizo big sana sehemu
Binadamu yoyote mwenye changamoto ya afyq anahitaji msaada wa kibinadamu, haijalishi ni mkwe au baba mkwe.Yawezekana baba mkwe ni mgonjwa,ndomaana lakini hiyo haihalalishi MKWE kuopareiti washing machine,afue boksa na nguo nyingine za babamkwe wake,ni utovu wa nidhamu.