Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Kongole mwanamke mwenzangu dawa ni ileile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna watu hawatoelewa umuhimu wa mahusiano kati ya baba na watoto, wanaanza kulaumu kuona kama mwanamke ni mkorofi, ni nani anataka kukaa na mtu asiyejua kubalance maisha hata kutenga muda na watoto wake nalo hadi asimamiwe!!!!!Aisee alitumia akili sana. Jamaa amshukuru mke wake kwa kutumia hio njia kurejesha uhusiano wake na watoto
Yan kama asingefanya hivyo bas watoto wangefanya kwa niaba yake pindi watakapoanza kujitambua/kukua ndio hapo zile kauli za "hawa watoto wanampendelea zaidi mama yao " na " hawa watoto hawanithamini baba yao"Na kuna watu hawatoelewa umuhimu wa mahusiano kati ya baba na watoto, wanaanza kulaumu kuona kama mwanamke ni mkorofi, ni nani anataka kukaa na mtu asiyejua kubalance maisha hata kutenga muda na watoto wake nalo hadi asimamiwe!!!!!
Mimi nimeona wewe ndo huna akili. Mwanaume anarudi watoto wamelala anaondoka hawajaamka! Hiyo wewe ndo unaona akili.Nimesoma tu kichwa cha habari nimegundua huyo mwanamke akili hana