Fateema
JF-Expert Member
- Feb 8, 2024
- 654
- 1,172
Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale kuna kama utando fulani hivi. Ndivyo inavyo kuwa ama?
Mlio tahiri watoto wenu hebu tujulisheni tafadhali
Vipi kuhusu Pen V? Ni muhimu kuwapa watoto wanasema inakausha vidonda haraka.
Hospitali nilipewa paradol na dawa nyingine nadhani ni maalumu kwa kukausha ila watu wanasema Pen V ni nzuri zaidi niwape?
Kwa mateso niliyo yaona wanangu wakitahiriwa naona Bora mtu asitahiriwe maisha yake yote..