Oooh yes man. Hivyo ndivyo nilivyotahiriwa, hakuna cha ganzi, kujipinda wala kupepesa macho. Yaani unasimama kama kinyago hadi amalize kukata then ndo utasikia umati ukishangilia kuwa wewe ni mwanaume.Tuliotahiriwa kimila (kiume) piteni hapa
Hakuna kujigusa , kupepesa macho ama mdomo wala kulia hadi umalizwe na ishara itolewe kuwa umemalizwa kutahiriwa.
Ni moja ya experience nzuri kupima uwanaume wako kwa uvumilivu.
Ukijitikisa wakati wanakutahili utakskia umati unakuzomea😂