Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza
Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka
Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao walikuwa wanamtetea, naona nao wamemugeuka kabisa
Yaani watanzania wote kwa sasa wanajua lengo la mama kizimkazi ni kuendelea kufanya ufujaji
Watu sasa hivi hata habari za mastaa na michezo hawazingatii tena bali wanachachoongelea ni siasa tu
Mimi namshauri mama wa kizimkazi apumzike tu kwa kweli
Ubarikiwe sana Polepole
LONDON BOY