Sjafahamu mkuu -- mi naongeles yanayoendeleaKwani lazima huyu mama awe rais?
No. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewaKosa kubwa alilifanya Maza nikumtupa Cuba, huwezi ishi Cuba ukabaki ulivyo
DUru zinasema wahuni ni wa muda mrefu sana na wana network kubwaNo. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewa