Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Jul 25, 2025 Thread starter #21 econonist said: Siku watanzania wakimrudisha madarakani huyu mama, itakuwa pigo kubwa Sana Kwa mustakabari wa nchi. Click to expand... Watanzania au police? Kuna mtanzania wa kumpigia kura huyu kibaka wa kike
econonist said: Siku watanzania wakimrudisha madarakani huyu mama, itakuwa pigo kubwa Sana Kwa mustakabari wa nchi. Click to expand... Watanzania au police? Kuna mtanzania wa kumpigia kura huyu kibaka wa kike
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Jul 25, 2025 #22 Beira Boy said: Kwani lazima huyu mama awe rais? Click to expand... Sjafahamu mkuu -- mi naongeles yanayoendelea
Beira Boy said: Kwani lazima huyu mama awe rais? Click to expand... Sjafahamu mkuu -- mi naongeles yanayoendelea
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,354 Jul 25, 2025 #23 900 Itapendeza zaidi said: Kosa kubwa alilifanya Maza nikumtupa Cuba, huwezi ishi Cuba ukabaki ulivyo Click to expand... No. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewa
900 Itapendeza zaidi said: Kosa kubwa alilifanya Maza nikumtupa Cuba, huwezi ishi Cuba ukabaki ulivyo Click to expand... No. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewa
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,297 Reaction score 18,156 Jul 25, 2025 #24 Mcharo son said: No. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewa Click to expand... DUru zinasema wahuni ni wa muda mrefu sana na wana network kubwa
Mcharo son said: No. kosa lake ni kuendesha nchi na wahuni, kwa kujua au kutokujua. Wahuni hawa ndio wanaomiliki kundi la wasiojulikana wanaochafua hali ya hewa Click to expand... DUru zinasema wahuni ni wa muda mrefu sana na wana network kubwa
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Jul 26, 2025 Thread starter #25 Lax said: Sjafahamu mkuu -- mi naongeles yanayoendelea Click to expand... Atupishe bhana