PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
😁😁..mkuu hii ni akili gani sasa,kwaio chama kikishaa susa ndo Nini sasa..
Ni sawa Leo team ya mpira isusie league kisa hawataki marefa wengne watacheza na team itakua imekufa.
 
😁😁..mkuu hii ni akili gani sasa,kwaio chama kikishaa susa ndo Nini sasa..
Ni sawa Leo team ya mpira isusie league kisa hawataki marefa wengne watacheza na team itakua imekufa.
Wewe utakua MTU mfupi ubongo umekaribiana na mavi, sibishanagi na watu kama nyie
 
Lissu chadema inaenda kumfia mikononi..
Baada October Act kinaenda kua chama kikuu Cha upinzani bungeni..
Hii kususia uchaguzi haiwez kukisaidia chama kivyovyote
Acha kujamba mapema kijana, mziki bado haya ni manyunyu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…