njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
inawezekana pia mkuu unachosema na chokochoko zinakuwa zinapitia kwa huyuhuyu Mugumisa ambaye inasemeka kwa Uganda ndiye mzee wa habari za ndaaaaaaniNimeitafsiri hii Habari kwa kingereza imenipa maana tofauti, kiswahili imenipa maana nyingine, kilingala imetofautiana na hao wengine. Ngoja nijaribu Kichina nione itaniletea tafsiri gani.
Eti not yet be named club. Hatoi mtu pesa huyu anakwenda msimbazi free. Msitake kuforce biashara vipers hawaamini kama wanapoteza mcheza bulee
inakera kwa kweli haswa ukichukulia kuna ma fowards majitu kweli body kubwa marefu mpira yanajua yanalipwa dollar 500 kwa mwezi yapo afrika hii hii haswa west hukoHili la manzoki lipite ili tupumue asee..kila siku manzoki manzoki aaagh!!!
huyo huyo mwandishiKwani huyu si ndiye aliyesema Manzoki anatimkia Yanga?
kwaiyo mayele kaizer walikuwa hawamtaki⁉️inawezekana pia mkuu unachosema na chokochoko zinakuwa zinapitia kwa huyuhuyu Mugumisa ambaye inasemeka kwa Uganda ndiye mzee wa habari za ndaaaaaani
Ni kama vile management ya Mayele kwa kushirikiana na Nuhu adams wa Ghana walivyoijambisha yanga kuongeza mkataba mnono kwa madai kaizer chiefs wanamtaka
kama wangekuwa na nia thabiti wangemkosa kweli?kwaiyo mayele kaizer walikuwa hawamtaki⁉️
Aje huku awe MBUMBUMBU kastuka.Jamaa punguza mihemko na huyu Manzoki, kila ukiambiwa Manzoki is Red huelewi, au hujui kizungu?
Muda wote mara manzok mara wanzukiJamaa punguza mihemko na huyu Manzoki, kila ukiambiwa Manzoki is Red huelewi, au hujui kizungu?
confirmed kapata team hadi 31/12/2022 mkataba wa miezi 4 kuiokoa team inayotaka kushuka daraja ndiyo jukumu lakeAaaaaaghh
tulia basi acha papaar au una njaa? kureport habara ya huyu mtu ni mihemko? wenye mihemko ni hao waliohangaika naye na kukataa kutoa hela ya usajili ilihali afrika ina mastrikers wengi, kiu ya wana simba ni kupata striker mkali mwenye mbio kujua kupunguza mabeki na anayeweza kufunga hata impossible angles, hapo sijaongelea kiu ya wanasimba kupata kiungo mkali mkabajiHivi watanzania ujinga utatuisha lini?? Kila siku unakuja na nyuzi za manzoki kwani Africa nzima Simba mmekosa mchezaji? Huyu manzoki ana maajabu yapi kumzidi kagere au mpole? Kawa mfungaji Bora misimu mingap?.
Punguza mihemko na vitu vya kawaida, huyu anaweza akaja na akafloap vibaya.
Nimeitafsiri hii Habari kwa kingereza imenipa maana tofauti, kiswahili imenipa maana nyingine, kilingala imetofautiana na hao wengine. Ngoja nijaribu Kichina nione itaniletea tafsiri gani.
Eti not yet to be named club. Hatoi mtu pesa huyu anakwenda msimbazi free. Msitake kuforce biashara vipers hawaamini kama wanapoteza mcheza bulee
So dirisha dogo bado yupo huyu maana ni only 4 months