njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Haya sasa haina shida mzungu wetu keshazoeana na team plus kiyombo, phiri, boko hao ndiyo strikers wetu ndugu zangu tuzoeee tu hali halisi
Hili la manzoki limekwisha sasa hata dirisha dogo december haji ni uongo , hela anayolipwa china ni nyingi sana nitashangaa sana kama atakubali kurudi nyuma kuchukua vimshahara vidogo labda kama pale mwanzoni watu wangekubali kutoa ile usd 200k tungekuwa naye
Huku aliahidiwa usd 8000k a month alikubali shida ikawa kutoa transfer fee watu wakawa wanavizia wampate bure sasa wachina kwa miezi 6 wanampa billion 1 wakati simba miezi sita angepata millioni 100
UPDATES: