ha haha "" umeanza...Mkuu nikweli " that day""..palikuwa na ajali"...maeneo ya Kimara suka .punguza michepuko ha ha ha hiyo kitu ulimdanganya mkeo unataka kutudanganya na sie JF Great Thinkers
Tatizo ni miundo mbinu ya barabara na sio magariTatizo kila mtu ana gari binafsi.
Bila kusahau wale wa pale kona bandari kilwa roadUnganisha na ile ya trafiki wa gongolamboto wanazingua
Sijui tunaelekea wapi kwa foleni kali namna hii, hivi kweli unakaa foleni lisaa lizima bila kusogea hata hatua moja?! Kwanini serikali haijatangaza state of emergency mpaka dakika hii?!! Hii ni hatari, ni janga; KWA HILI NAPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAMLAKA HUSIKA, something has to be done immediately!
hata europé ukienda unalipa kuingia na kutoka , japo wao wanamiundo mbinu kuliko ccMfanye kama wanavyofanya Nairobi. Magari ya binafsi hayaruhusiwi kwenda city centre isipokuwa siku za week ends tu. Siku zingine wote mpande public transport except government ministers and senior government officials kwa magari ambayo plate numbers zake zinaonyesha utambulisho huo pamoja na magari ya wagonjwa. This is the best, easiest and cheapest solution. Kwani lazima uende na gari lako kazini? Kumuonyesha nani? Hamieni mikoani kama mnataka kwenda kazini na magari yenu.
Hao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.moja ya sababu nzito za serkali kuhamia Dodoma ilikuwa kui decongest Dar.
failure # 1.
tuendelee kuorodhesha driving factors zilizopelekea serekali kuhamia Dodoma na kama malengo yamefikiwa au la!
ambacho nina uhakika nacho, Mwalimu angekuwa hai leo asingeruhusu huu utoto asilani!
Sidhani kama hata wote wana magari, so sidhani kama effect yao itaonekana kwa harakaHao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.
ni wao wenyewe ndyo waliotuaminisha kuwa ndiyo moja ya vichocheo vya kuhamishia ofisi kule.Hao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.
Failure kabisani wao wenyewe ndyo waliotuaminisha kuwa ndiyo moja ya vichocheo vya kuhamishia ofisi kule.
sasa kama haijasaidia basi ni failure!
Sijui wa wapi wewe!Mbona Hakuna foleni Sasa kwani shule nyingi zimeanza kufungua.Kuwa specific na sio ki generalize .Traffic wanajifanya sana
Hizo public transport ziko wapi?Mfanye kama wanavyofanya Nairobi. Magari ya binafsi hayaruhusiwi kwenda city centre isipokuwa siku za week ends tu. Siku zingine wote mpande public transport except government ministers and senior government officials kwa magari ambayo plate numbers zake zinaonyesha utambulisho huo pamoja na magari ya wagonjwa. This is the best, easiest and cheapest solution. Kwani lazima uende na gari lako kazini? Kumuonyesha nani? Hamieni mikoani kama mnataka kwenda kazini na magari yenu.
Hilo sio tatizo, tatizo ni kukosa public transport za uhakika.Tatizo kila mtu ana gari binafsi.
Hujui usemalo!Mchague sehemu za kuishi strategically.....sio unaenda kupanga nyumba Pugu kisa bei poa unasahau gharama za usafiri na muda unaopoteza. Angalia unapofanyia shughuli zako ndio uchague pa kuishi. Kama umejiajiri ofisi yako iweke mahali ambapo utakuwa unaenda against traffic. Mfano unakaa Kinondoni ofisi Mwenge asubuhi watu wanahangaika kwenda mjini wewe unaelekea mwenge,jioni wanahangaika kutoka mjini wewe unaelekea mjini.
Hebu nisaidie uhusiano wa hii foleni na kuhamia DomNa bado mnapinga serikali kuhamia dodoma ? Hahaha, pole kwa janga, no wonder Dar es salaam inaongoza kwa watu kuugua magonjwa ya akili !
Kwanini wasiboreshe sasa ili mtu asione umuhimu wa kwenda na Gari lake. Eti wataboresha baada ya kupiga ban, mwajiri/mteja anakuvumilia tu!Zitaboreshwa na ni rahisi kuziboresha baada ya amri hiyo ya kupiga ban magari binafsi kuingia city centre siku za kazi.