Tuongeeni tu ukweli, foleni za Dar kwa sasa zinatisha!

Tuongeeni tu ukweli, foleni za Dar kwa sasa zinatisha!

punguza michepuko ha ha ha hiyo kitu ulimdanganya mkeo unataka kutudanganya na sie JF Great Thinkers
ha haha "" umeanza...Mkuu nikweli " that day""..palikuwa na ajali"...maeneo ya Kimara suka .
 
Sababu ya mkutano mkuu tu!
Itaisha!
 
Sijui tunaelekea wapi kwa foleni kali namna hii, hivi kweli unakaa foleni lisaa lizima bila kusogea hata hatua moja?! Kwanini serikali haijatangaza state of emergency mpaka dakika hii?!! Hii ni hatari, ni janga; KWA HILI NAPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA MAMLAKA HUSIKA, something has to be done immediately!

Picha na barabara husika.
 
Mfanye kama wanavyofanya Nairobi. Magari ya binafsi hayaruhusiwi kwenda city centre isipokuwa siku za week ends tu. Siku zingine wote mpande public transport except government ministers and senior government officials kwa magari ambayo plate numbers zake zinaonyesha utambulisho huo pamoja na magari ya wagonjwa. This is the best, easiest and cheapest solution. Kwani lazima uende na gari lako kazini? Kumuonyesha nani? Hamieni mikoani kama mnataka kwenda kazini na magari yenu.
hata europé ukienda unalipa kuingia na kutoka , japo wao wanamiundo mbinu kuliko cc
 
Mbona hii hali ya kawaida sana mkuu kwani una X-Mass ngapi hapa jijini
 
moja ya sababu nzito za serkali kuhamia Dodoma ilikuwa kui decongest Dar.

failure # 1.

tuendelee kuorodhesha driving factors zilizopelekea serekali kuhamia Dodoma na kama malengo yamefikiwa au la!

ambacho nina uhakika nacho, Mwalimu angekuwa hai leo asingeruhusu huu utoto asilani!
Hao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.
 
Hao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.
Sidhani kama hata wote wana magari, so sidhani kama effect yao itaonekana kwa haraka
 
Hao wafanyakazi wa serikali wako wangapi mpaka kwenda kwao Dodoma kukaathiri idadi ya watu na magari Dar es Salaam????? Sidhani kama wanafika hata 60,000.
ni wao wenyewe ndyo waliotuaminisha kuwa ndiyo moja ya vichocheo vya kuhamishia ofisi kule.
sasa kama haijasaidia basi ni failure!
 
nyie mnaotakiwa kazini saa mbili ndo mwapata tabu ila sie wa saa za mashetani wala hatupati hizo tabu
 
Mfanye kama wanavyofanya Nairobi. Magari ya binafsi hayaruhusiwi kwenda city centre isipokuwa siku za week ends tu. Siku zingine wote mpande public transport except government ministers and senior government officials kwa magari ambayo plate numbers zake zinaonyesha utambulisho huo pamoja na magari ya wagonjwa. This is the best, easiest and cheapest solution. Kwani lazima uende na gari lako kazini? Kumuonyesha nani? Hamieni mikoani kama mnataka kwenda kazini na magari yenu.
Hizo public transport ziko wapi?
 
Mchague sehemu za kuishi strategically.....sio unaenda kupanga nyumba Pugu kisa bei poa unasahau gharama za usafiri na muda unaopoteza. Angalia unapofanyia shughuli zako ndio uchague pa kuishi. Kama umejiajiri ofisi yako iweke mahali ambapo utakuwa unaenda against traffic. Mfano unakaa Kinondoni ofisi Mwenge asubuhi watu wanahangaika kwenda mjini wewe unaelekea mwenge,jioni wanahangaika kutoka mjini wewe unaelekea mjini.
Hujui usemalo!
 
Na bado mnapinga serikali kuhamia dodoma ? Hahaha, pole kwa janga, no wonder Dar es salaam inaongoza kwa watu kuugua magonjwa ya akili !
Hebu nisaidie uhusiano wa hii foleni na kuhamia Dom
 
Zitaboreshwa na ni rahisi kuziboresha baada ya amri hiyo ya kupiga ban magari binafsi kuingia city centre siku za kazi.
Kwanini wasiboreshe sasa ili mtu asione umuhimu wa kwenda na Gari lake. Eti wataboresha baada ya kupiga ban, mwajiri/mteja anakuvumilia tu!
 
Back
Top Bottom