G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,737
- 1,891
Jana palikuwa na aina ya ujenzi wa flyover pale tazara ndo ilisababisha foleni ya hatari nyerere road na Mandela road, magari yote yaliokuwa yanapita Mandela yalikuwa yanapita single lane! Hivo kusababisha gari zilizotokea upande wa buguruni kusubiri kwanza zilizotokea upande wa taifa zisimamishwe ndo wao wapite, badala ya kupishana! nilitoka ferry saa 11:40 nilifika g.lamboto saa 3: na dk. Usiku.