Ndiyo,sasa kama hawakukinukisha utaiitaje?Mikoa Kondoo tena?
Mikoa yote yenye wajinga wengi ndio iliyo poa na mingi ni watumwa wa CCMNaanza na KAGERA.
Hata kama walikuwepo basi wanahesabika
Simiyu itoe nenda pale round about bariadi ukashuhudie nini kilifanyika ndio utaelewa unachopaswa kuelewa ni kwamba polisi waliwahi kusambalatisha lakin impact is visible at the place I have pointed out1 kigona
2 kagera
3 Kilimanjaro
4 tanga
5 Morogoro
6 Simiyu
8 Singida
9 Mtwara
10 Lindi
Tatizo tulikuwa gizani mkuu sikupata amsha amsha ya wana SimiyuSimiyu itoe nenda pale round about bariadi ukashuhudie nini kilifanyika ndio utaelewa.
Dodoma hapana, kuna mtu wangu wa karibu alikuwa safari kuja Dar ikabidi asimame Dodoma kwa takribani siku 3.Dodoma Kigoma
TangaNaanza na KAGERA.
Hata kama walikuwepo basi wanahesabika
Kuhusu Kilimanjaro, kule Rombo mambo yalikuwa moto. Hata bomang'ombe hapakuwa shwari.1 kigona
2 kagera
3 Kilimanjaro
4 tanga
5 Morogoro
6 Simiyu
8 Singida
9 Mtwara
10 Lindi
Dodoma ipiDodoma Kigoma
TaboraNaanza na KAGERA.
Hata kama walikuwepo basi wanahesabika